Nimekata tamaa ya maisha

Nimekata tamaa ya maisha

Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Una thamani sana kuliko kifo subiri aliye kuumba mpk atakapo amuua kukuita yeye usiende kwa supplies hakuna kitanda cha ww kulala saiz na hajaandaa utakula nini usimuudhi MUNGU
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️ ooh! Pole sana kila magumu unayo yapitia ya kubali mkabizi Mungu, usfkr kufeli au kukataa tamaa maana yote yatapita ww n bora na pia ww ndyo mwaga wa watto wako shujaa kwaiyo akuna sababu ya kujiona umefeli kila gumu mkabizi muumba wako awe mtetezi katk majarbu yako unayo yapitia. chukuwa ili ukihis umepoteza kila ktu ktk maisha yako kumbuka kuwa miti hupoteza majan yake kila mwaka, na bdo husmama imara kungojea wakat wake wa kuchanua majan mapya. Vumilia ipo sku utajiona ww n wathaman sana
 
Pole Sana mkuu kwa hali ngumu unazopitia.
Mungu akufanyie wepesi inshallah!
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
pole Sana Kwa unayopitia , kwanza jitaidi kufikiria zaidi kuhusu familia yako kuliko hiyo uliyotokea! watoto wako watakua na Hali gani ukijitoa uhai? huyo aliepo tumboni fikiria unaweza ukawa umebeba raisi ajaye! Sali , shirikisha watu wa karibu mambo unayopitia ushauriwe pia usikae peke yako mara zote jitaidi kuongea na Kila mtu ili upewe experience
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Pole sana kwa kile unachopitia, najua ni vigumu sana. Maisha yanaweza kuwa magumu, na wakati mwingine unapojikuta peke yako na mzigo mzito, huwezi kujua la kufanya. Lakini kumbuka, hakuna uchungu unaodumu milele. Hata kama unahisi umejaa huzuni na unashindwa kuona mwanga mbele, bado kuna matumaini.

Unapojitahidi kupambana na changamoto nyingi za kimaisha, fahamu kuwa kila hatua unayochukua ni ushindi. Watoto wako wanakuhitaji, na wao ni sehemu ya nguvu yako. Wanaweza kuwa naweza wako wa kupigania. Wakati mwingine, mwanga unajitokeza mahali ambapo huwezi kuona kwa sasa, lakini umejaa nguvu ya kuhimili kila kitu kinachojitokeza.

Pole tena, na tafadhali usikate tamaa. Kuna msaada, kuna watu ambao wanaweza kusaidia na unaweza kuwa na nguvu zaidi kuliko unavyodhani.
Soma zaburi hii irudie mara nyingi
Zaburi 42:11 “Mbona moyo wangu unakuwa huzuni,
Na mbona ndani yangu nashindwa nguvu?
Tazama, natarajia Mungu,
Kwa maana nitamshukuru tena,
Naye ndiye wokovu wangu na Mungu wangu.”
 
Ulikosea sana hapo,. Usingewaza kuzaa tena kwa sasa walau ungetulia tu uone kwanza kama atabadilika na kukupenda tena,.
Ona sasa kitu ambacho ulitegemea walau kikupe furaha kinaishia kukumiza tena

Ila wanaume😥😥
 
Attachments

  • Screenshot_20250124-203026_Chrome.jpg
    Screenshot_20250124-203026_Chrome.jpg
    422.1 KB · Views: 2
Nanyie mkiwa na mimba mambo yanakuwa mengi mno. Ukute wendochanzo!
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Usikate tamaa Ndugu ,piga goti kwa Mola hio inaweza kuwa point yako ya return yaani unajipangia Kesho kupitia mambo unayopitia Leo...Watu Wana mengi mioyoni ila hawajakata tamaa la msingi kaa na Watu ,usiwe mnyonge
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Pambana na hali yako.
 
Pole sana
Mungu akutie nguvu usifikirie kujiua hivo vipindi Huwa ni vya mapito utakuja kukaa muombe Mungu ujifungue salama kuwa jasiri tafuta hata mama hapo mtaani au mtaa wapilibubaeona kidogo anabusara uwe unaongea itakupunguzia machungu
 
Back
Top Bottom