Wewe Sio binadamu wa kawaidaAnaetaka kujiua huwa anatangaza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Sio binadamu wa kawaidaAnaetaka kujiua huwa anatangaza?
Una thamani sana kuliko kifo subiri aliye kuumba mpk atakapo amuua kukuita yeye usiende kwa supplies hakuna kitanda cha ww kulala saiz na hajaandaa utakula nini usimuudhi MUNGUNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
🤦🏿♂️🤦🏿♂️🤦🏿♂️ ooh! Pole sana kila magumu unayo yapitia ya kubali mkabizi Mungu, usfkr kufeli au kukataa tamaa maana yote yatapita ww n bora na pia ww ndyo mwaga wa watto wako shujaa kwaiyo akuna sababu ya kujiona umefeli kila gumu mkabizi muumba wako awe mtetezi katk majarbu yako unayo yapitia. chukuwa ili ukihis umepoteza kila ktu ktk maisha yako kumbuka kuwa miti hupoteza majan yake kila mwaka, na bdo husmama imara kungojea wakat wake wa kuchanua majan mapya. Vumilia ipo sku utajiona ww n wathaman sanaNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
HahahahaSio baba yao, baba zao.
Kila mtoto ana baba yake hapo.
pole Sana Kwa unayopitia , kwanza jitaidi kufikiria zaidi kuhusu familia yako kuliko hiyo uliyotokea! watoto wako watakua na Hali gani ukijitoa uhai? huyo aliepo tumboni fikiria unaweza ukawa umebeba raisi ajaye! Sali , shirikisha watu wa karibu mambo unayopitia ushauriwe pia usikae peke yako mara zote jitaidi kuongea na Kila mtu ili upewe experienceNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Usikariri mkuu...Kuna MITIHANI hii dunia...Anaetaka kujiua huwa anatangaza?
Asante, sijambo mkuu, wewe je? Nipo labda tunapishana mida ya kuingia humu tu mkuu.Becky hujambo? Sijakuona mda my favourite lady.
Ushauri mzuri!
Pole sana kwa kile unachopitia, najua ni vigumu sana. Maisha yanaweza kuwa magumu, na wakati mwingine unapojikuta peke yako na mzigo mzito, huwezi kujua la kufanya. Lakini kumbuka, hakuna uchungu unaodumu milele. Hata kama unahisi umejaa huzuni na unashindwa kuona mwanga mbele, bado kuna matumaini.Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Niko vizuri Becky,Asante, sijambo mkuu, wewe je? Nipo labda tunapishana mida ya kuingia humu tu mkuu.
Haya nitajitahidi mkuu thanks.Niko vizuri Becky,
Basi hata salam mara moja moja my lady..you're missed!
Wanaume wamefanyaje?Ila wanaume😥😥
Usikate tamaa Ndugu ,piga goti kwa Mola hio inaweza kuwa point yako ya return yaani unajipangia Kesho kupitia mambo unayopitia Leo...Watu Wana mengi mioyoni ila hawajakata tamaa la msingi kaa na Watu ,usiwe mnyongeNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Pambana na hali yako.Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.