Duh ww unauza nn mpaka hujui picha ya aina ganiSawa.Unahitaji picha ya aina gani mkuu??
Wa TZ kwenye biashara za online ni weupe kabisa....Imagine unauza viwanja halafu hakuna picha hata moja wala maelezo ya kila kiwanja unavyouza....Kwa wale ambao bado wanahitaji maeneo kwa ajili ya kujenga makazi,karibu sana kwa mara nyingine.Viwanja vipo Kisesa Mikoroshoni.Kutoka Lami barabara ya Mwanza-Musoma ni shilingi 1000/= tu kwa pikipiki mpaka viwanja vilipo.Bei ya kiwanja ni 1,700,000/= mpaka 2,000,000/= kutegemea na ukubwa wa kiwanja ulichopenda.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunipigia hapa 0674 348 222 au unaweza kufika ofsini kwetu moja kwa moja,Kishili Mwanza.
Karibu Sana.
Ooh! Ahsante sana,nashukuru Sana kwa ushauri.Ndiyo naendelea kujifunza.Barikiwa Sana🙏🏼Wa TZ kwenye biashara za online ni weupe kabisa....Imagine unauza viwanja halafu hakuna picha hata moja wala maelezo ya kila kiwanja unavyouza....
Ebu jifunze kwenye oniline platforms uone wenzako wanavyouza.
Mzee biashara matangazo sasa bila pichaOoh! Ahsante sana,nashukuru Sana kwa ushauri.Ndiyo naendelea kujifunza.Barikiwa Sana🙏🏼
Weka zote,biashara matanganzo,picha nazo zinashawishi wateja.Nimekuuliza kwa maana ya kwamba,wengine hutaka picha ya eneo iliyopigwa kawaida,ikionyesha uwanda mzima wa mazingira yake na wengine hutaka picha ya mchoro/ramani ya viwanja.