nyemenowa tindamanyile
Member
- Jan 28, 2022
- 42
- 43
Biashara ya mabasi ni biashara ya kitapeli sana.
Enzi zile kuna darlux wakawa wanasema gari ina wifi hivyo watu wakawa wanalipishwa bei ya luxury ila ukiingia ndani kila siku mtaambiwa kwamba kifaa cha wifi kina matatizo.
Mbaya zaidi wakawa kama unatokea dar wanaenda kusimama kwenye kihoteli kimoja kiko bahi, mshikaji wangu alikula pale wali aliharisha nusu afe.
Vile nilikua mteja wao siku moja nikawaambia huu Uswahili wenu ipo siku hii kampuni itakufa, kweli Uswahili ukaiua darlux.
Maisha yamebadilika kidogo sasa long safari yoyote kama sijaenda na gari binafsi basi ni flight tu. Mabadi ni waswahili sana.
Sijawahi kuona mabasi ya maana yakienda Bukoba, sidhani kama kweli kuna mfanyabiashara yeyote anayetaka kubeba senene kwenye basi lake.Nimepanda Happy Nation( BUSINESS CLASS) la saa 10:00 kutoka Bukoba to Dsm kwa NAULI ya 120,000/.
Hilo basi halina AC na pia CHOO chake haki flush tunalazimishwa kuchimba dawa kwa KUJILIPIA hiyo huduma. Konda hana jibu la malalamiko yetu yote, likiwemo la kurudishiwa nauli inayobebwa na hiyo business class. Nani mhusika kwa sakata hii?
View attachment 2861202
Nijulishe na namba yake tafadhali.
Kuna bus niliwahi kupanda 2019 kutokea Tanga kwenda DSM sikumbuki jina lake ila nadiriki kusema at least hilo bus lilikuwa na hadhi ya u VIP, kwanza seats in 2 by 1, seat very comfortable na zina nafasi ya kutosha kunyoosha miguu, nili enjoy sana safari. Lilikua linatokea Mombasa > Tanga > DSMBongo hamna basi VIP
Itakuwa ni Ratco hiloKuna bus niliwahi kupanda 2019 kutokea Tanga kwenda DSM sikumbuki jina lake ila nadiriki kusema at least hilo bus lilikuwa na hadhi ya u VIP, kwanza seats in 2 by 1, seat very comfortable na zina nafasi ya kutosha kunyoosha miguu, nili enjoy sana safari. Lilikua linatokea Mombasa > Tanga > DSM
Nchi ngumu sana hii MkubwaSema wahuni, Uswahili sio dhambi. Ni waswahili pekee wanatumia neno mswahili kama tusi. Huu ujinga haupo kwenye race nyingine yeyote ile Duniani. Race zingine zote wanajiona wao ni superior huku waswahili mnawatukana wenzenu kwa kuwaita waswahili.
Hizi Happy Nation ni zile higer za darlux,kwanza washukuru kama wamefika salama bus mbovu sana hizi.Biashara ya mabasi ni biashara ya kitapeli sana.
Enzi zile kuna darlux wakawa wanasema gari ina wifi hivyo watu wakawa wanalipishwa bei ya luxury ila ukiingia ndani kila siku mtaambiwa kwamba kifaa cha wifi kina matatizo.
Mbaya zaidi wakawa kama unatokea dar wanaenda kusimama kwenye kihoteli kimoja kiko bahi, mshikaji wangu alikula pale wali aliharisha nusu afe.
Vile nilikua mteja wao siku moja nikawaambia huu Uswahili wenu ipo siku hii kampuni itakufa, kweli Uswahili ukaiua darlux.
Maisha yamebadilika kidogo sasa long safari yoyote kama sijaenda na gari binafsi basi ni flight tu. Mabadi ni waswahili sana.
TahmeedKuna bus niliwahi kupanda 2019 kutokea Tanga kwenda DSM sikumbuki jina lake ila nadiriki kusema at least hilo bus lilikuwa na hadhi ya u VIP, kwanza seats in 2 by 1, seat very comfortable na zina nafasi ya kutosha kunyoosha miguu, nili enjoy sana safari. Lilikua linatokea Mombasa > Tanga > DSM
LATRAPiga simu Sumatra watakusaidia ,
RATCO EXPRESSKuna bus niliwahi kupanda 2019 kutokea Tanga kwenda DSM sikumbuki jina lake ila nadiriki kusema at least hilo bus lilikuwa na hadhi ya u VIP, kwanza seats in 2 by 1, seat very comfortable na zina nafasi ya kutosha kunyoosha miguu, nili enjoy sana safari. Lilikua linatokea Mombasa > Tanga > DSM