DOKEZO Nimekata tiketi VIP basi la Happy Nation, lakini halina huduma hadhi ya VIP. Naweza kulalamika wapi?

DOKEZO Nimekata tiketi VIP basi la Happy Nation, lakini halina huduma hadhi ya VIP. Naweza kulalamika wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna bus niliwahi kupanda 2019 kutokea Tanga kwenda DSM sikumbuki jina lake ila nadiriki kusema at least hilo bus lilikuwa na hadhi ya u VIP, kwanza seats in 2 by 1, seat very comfortable na zina nafasi ya kutosha kunyoosha miguu, nili enjoy sana safari. Lilikua linatokea Mombasa > Tanga > DSM
RATCO
 
Bongo hamna Luxury bus inatakiwa mamlaka husika wazuie hizi kampuni kuita bus zao VIP na VVIP zilizopo ni Ordinary na semi Luxury tena semi Luxury ni chache sana
 
Sijui kwanini wanatoza bei za luxury, hili suala lina baraka ya sumatra na mamlaka zote nchini.
Bongo sidhani kama kuna luxury, naona kuna semi luxury na "kajamba nan" tu.
bm dar moro aliwahi kuwa nayo
shabiby anazo dar dom
 
Ndo maana ana utu na amekataa dhulma. Takbiir!
Hapa ukitumia kigezo cha mmiliki ni dini gani haitaleta maana, kwakua hata Happy Nation ni muislam lakini mbona hajawa muadilifu kama Tahmeed.
Na siyo Happy Nation tu wamiliki wengi wa mabus Tz ni waislam lakini nje ya bus unawekewa sticker za free WiFi, juice,seat kubwa legroom ya kutosha ila ukiingia ndani mambo tofauti
 
Sumatra! Iko wapi hiyo, msaidie usimpotoshe kama haujui liache lipite kwani hata namba ya simu hauijui.
ametoa maelezo.sahihi swala la yeye kuwa na namba sio lazma
hapo ulipo sio namba zote unazo mfano namba za bank upatapo changamoto au dharula unayo?


punguzeni makasiriko ma agent uchwara
 
Sema wahuni, Uswahili sio dhambi. Ni waswahili pekee wanatumia neno mswahili kama tusi. Huu ujinga haupo kwenye race nyingine yeyote ile Duniani. Race zingine zote wanajiona wao ni superior huku waswahili mnawatukana wenzenu kwa kuwaita waswahili.

...Umeishawahi kusikia habari za Wahindi Weusi wa India, Mkuu ?...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Wewe mbongo uliyezaliwa TZ sio mswahili? Sawa na mzungu kukataa yeye sio Caucasian.
Mimi sio Mswahili, kuzaliwa bongo sio lazima uwe mswahili. Kuna utamaduni kabisa wa Kiswahili. Kuna watu wanazaliwa bongo hawajuhi hata Kiswahili wala utamaduni wa Kiswahili.
 
Back
Top Bottom