Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Acha UjingaBaaasi shida ipo kwenye kabila na aina ya ticket ulokata kwa nini huwa mnapenda kujikweza?
Elewa mada, toa Ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha UjingaBaaasi shida ipo kwenye kabila na aina ya ticket ulokata kwa nini huwa mnapenda kujikweza?
Sio VIP tu, hata Luxury bus HAKUNABongo hamna basi VIP
Wew ndo una matatizo...Baaasi shida ipo kwenye kabila na aina ya ticket ulokata kwa nini huwa mnapenda kujikweza?
Alivyoanza hata Mimi nilijua ni Ratco, lakini alivyomalizia kua lilikua linatoka Mombasa sidhan kama Ratco wanafika hadi MombasaItakuwa ni Ratco hilo
Kama shabiby wapo route hiyo ungepanda hao wengine ni wababaishajiNimepanda Happy Nation( BUSINESS CLASS) la saa 10:00 kutoka Bukoba to Dsm kwa NAULI ya 120,000/.
Hilo basi halina AC na pia CHOO chake haki flush tunalazimishwa kuchimba dawa kwa KUJILIPIA hiyo huduma. Konda hana jibu la malalamiko yetu yote, likiwemo la kurudishiwa nauli inayobebwa na hiyo business class. Nani mhusika kwa sakata hii?
View attachment 2861202
Nijulishe na namba yake tafadhali.
Bongo utapeli kila sehem.Biashara ya mabasi ni biashara ya kitapeli sana.
Enzi zile kuna darlux wakawa wanasema gari ina wifi hivyo watu wakawa wanalipishwa bei ya luxury ila ukiingia ndani kila siku mtaambiwa kwamba kifaa cha wifi kina matatizo.
Mbaya zaidi wakawa kama unatokea dar wanaenda kusimama kwenye kihoteli kimoja kiko bahi, mshikaji wangu alikula pale wali aliharisha nusu afe.
Vile nilikua mteja wao siku moja nikawaambia huu Uswahili wenu ipo siku hii kampuni itakufa, kweli Uswahili ukaiua darlux.
Maisha yamebadilika kidogo sasa long safari yoyote kama sijaenda na gari binafsi basi ni flight tu. Mabadi ni waswahili sana.
Bm wahuni tu naoPanda BM Bus hutajutia pesa yako
na ni wajinga kabisaaa!Happy Nation wamekuwa wahuni nowadays usijalibu hata kuagiza mzigo utalia
Acha upuuzi..dereva wa usiku snalala mchana, hunawahi sikia ata viwandani na hospitalini lna shift za usiku na mchanaSerikali naomba waondowe utararibu wa gari kusqfuri usiku, gari zisafiri kama zamani, madereva nao ni binadamu wanasinzia
[emoji23][emoji23][emoji23]Hili Shalom sio Luxury ni la kawaida hao hiyo VIP wametoa wapi kwa gari viti vigumu utadhani vya Fusso..
[emoji23][emoji23][emoji23]Hili Shalom sio Luxury ni la kawaida hao hiyo VIP wametoa wapi kwa gari viti vigumu utadhani vya Fusso..
[emoji1787]Hapo ushapigwa mkuu ila next time ku revenge panda Halafu shusha kimba watajua wao namna ya ku flash.Dawa ya Moto ni moto.
punguza ushamba na ujuajiTumia simu yako kupata namba zote muhimu, hauna haja ya kumuuliza mtu.
kwan vip lina huduma gani kwan mpaka useme hakuna tz nzimaVIP ya Bongo ni Gari kuwa na milango miwili, siti 1x2, biskuti, pipi, maji na juisi(hivi hupewi vyote, vinatolewa viwili kati ya hivi)
Mimi huwa napanda daraja la kawaida au la kati tu kulingana na ninakoenda ambapo nauli inakuwa ni minimum recommended
acha uchawi kufa tutakufa sisi ila hata mchana mtakufaSerikali naomba waondowe utararibu wa gari kusqfuri usiku, gari zisafiri kama zamani, madereva nao ni binadamu wanasinzia