DOKEZO Nimekata tiketi VIP basi la Happy Nation, lakini halina huduma hadhi ya VIP. Naweza kulalamika wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
happy nation hawana basi la vip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wahuni, Uswahili sio dhambi. Ni waswahili pekee wanatumia neno mswahili kama tusi. Huu ujinga haupo kwenye race nyingine yeyote ile Duniani. Race zingine zote wanajiona wao ni superior huku waswahili mnawatukana wenzenu kwa kuwaita waswahili.
Kuna tofauti ya yangi nyeusi na uswahili. Sijatukana watu weusi, nimezungumzia tabia za kiswahili.

Kuna mahala nimesema watu weusi ni wa hovyo?

Uswahili ni tabia, sio rangi. Ni obvious ulimwambia mtu yoyote kamba flani ana mambo ya kiswahili anaelewa unazungumzia nini na haihusiani na rangi ya weusi.
 
Bongo hamna basi VIP
Kweli kabisa mkuu. Tarehe 28 Dec 2023 nilinunua tiketi ya ABOOD bus service, VVIP toka Dar- Bukoba kwa sh 110,000 /=. Ukweli hakuna cha I-Vip wowote. Ni choo tu nacho mpaka uombe ufunguliwe. Eti kwa zaidi ya 1200 KM unapewa ka - soda kamoja tu safari nzima. Hii si haki ilibidi watoe na vitafunwa.
 
Bus yanaenda Kanda ya ziwa Yana uwongo mwingi nakunbuka Tungis at least alikuwa akiwasha AC yaan watakuambia ni luxury sasa ingia ndani uhuni Mwingiii
 
Yuko safarini na anakula wali? Ni msukuma?
 
Sema wahuni, Uswahili sio dhambi. Ni waswahili pekee wanatumia neno mswahili kama tusi. Huu ujinga haupo kwenye race nyingine yeyote ile Duniani. Race zingine zote wanajiona wao ni superior huku waswahili mnawatukana wenzenu kwa kuwaita waswahili.
Uswahili ni ile hali ya kuwa na maneno mengi sana lakini ya utapeli, ujanja ujanja, magumashi au yasiyo na tija.
 
sio ratco kweli
 
Ukibadilisha hizo tabia una upgrade na kuwa mzungu au muarabu sio? Endelea kupambana utagraduate Uswahili.
 
Sema wahuni, Uswahili sio dhambi. Ni waswahili pekee wanatumia neno mswahili kama tusi. Huu ujinga haupo kwenye race nyingine yeyote ile Duniani. Race zingine zote wanajiona wao ni superior huku waswahili mnawatukana wenzenu kwa kuwaita waswahili.
Sasa si waswahili,mi nae mswahili kwani shida kuitwa mswahili
.mswahili ni yule mtu anatoa ahadi zisizotekelezeka.
Umeme mgao mwisho kesho.
Mgao unaendelea.
VYakula vitapungua bei,
Kesho imezidi.
Maji yapo huku watu hawana maji.
Nchi hii tajiri sana,huku watu wanakufa maskini.
Mpk sasa wewe raia hapo ulipo unadaiwa mil km sio bil 2.
Ndo huyo mswahili,matumaini mengi utendaji zero.
We unalaumu hapa labda mangi nae ana kesi nawewe hapo mtaani.
Ulikopa unga hujalipa,
Ndo uswahili huo.
Mi nashukuru kuwa mswahili,sio zambi,
leo nikiona naelemewa basi nnapiga uswahili wangu life linaendelea.
Kesho niko sawa utashangaa
Nakupa chochote zaidi ya mara 2 toka kile nimepiga mwanzo.
Ni mambo ya kawaida tu,ila USIZULUMU MTU.
 
Ukibadilisha hizo tabia una upgrade na kuwa mzungu au muarabu sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…