Nimekidhi vigezo kuitwa "Shangazi"

Nimekidhi vigezo kuitwa "Shangazi"

Asanteni kwa majibu ya uzi wa jana, nimeona nakidhi vigezo vyote vilivyotajwa na napokea jina la “shangazi”.

Haya niambieni hawa vijana wa 2000 nao wana sifa zipi. Ambao mmeshapata uzoefu nao, nini nijiandae nacho na kuwa makini?

Mwenye kutaka kutupa karata yake:
shangazimambo@gmail.com
(vijana wa 2000 tu) 😅

REJEA 👇
Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Cc: Inside10
Upo serious au unatania?
Kuna mdogo wangu wa afu mbili na moja ana penda sana mishangazi

Cc: Poor Brain
 
Back
Top Bottom