Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kwani uko wapi?Aaanha wewe jamani, dhambi kuua na kubaka basi, vingine vyote vinaeleweka vya kibinadamu tu 😂🤣😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uko wapi?Aaanha wewe jamani, dhambi kuua na kubaka basi, vingine vyote vinaeleweka vya kibinadamu tu 😂🤣😆
Falaa😂🤔Mimi mtumishi wa Mungu hayo mambo ni dhambi
Mchawi kaingiaFalaa😂🤔
Code sisterhood - sitakuangusha mamy 💕Ukipata wengi wenye vigezo naomba utanigawia 😅 @realMamy255@gmail.com
Nasubiri kwa hamu 😜Code sisterhood - sitakuangusha mamy 💕
Kuunganishwa umeme bureHapo raha yake nini sasa 🤷🏽♀️?
We babu hebu nipishe huko, najua hukidhi vigezo vya kuwa kijana teketeke wa alfu mbili 😎Miaka 49 wewe ni bibi Yao..
Nafwaaaaaaahhhhh 🤣🤣🤣🤣🤣Kuunganishwa umeme bure
Mjini hapa hapaKwani uko wapi?
Mji huu huu wa holiday?Mjini hapa hapa
Dunia ipo at a speed of light🤣 noma sana!Hiyo ni exclusive so inategemea nimekupendaje na size yako pia 😅!
Unataka unitunuku?Sawa, basi niite “mshangazi” vipi wewe kijana teketeke au mtu mzima mwenzangu?
HaaaaMimi mtumishi wa Mungu hayo mambo ni dhambi
endelea tu, tufanye hatuja onana 🤣😂Huku sijui ni wapi nimepita 😃