Nimekidhi vigezo kuitwa "Shangazi"

Nimekidhi vigezo kuitwa "Shangazi"

Ila Prosper 😊🙌 umenikumbusha mbali sana, maneno matamu asali inasubiri 😍😅
From Prosper Gmail.png
 
Asanteni kwa majibu ya uzi wa jana, nimeona nakidhi vigezo vyote vilivyotajwa na napokea jina la “shangazi”.

Haya niambieni hawa vijana wa 2000 nao wana sifa zipi. Ambao mmeshapata uzoefu nao, nini nijiandae nacho na kuwa makini?

Mwenye kutaka kutupa karata yake:
shangazimambo@gmail.com
(vijana wa 2000 tu) 😅 ukianiandikia “Hi” instead of kujitambulisha na kuniambia why unanifaa - nakublock.

REJEA 👇
Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Cc: Inside10
Nmeshakutumia email
 
Sifa awe kijana teketeke anayevutia, miaka 30 kwenda juu sitaki 🚫
Nina maana awe na umri wa miaka 25 kushuka chini. Akiwa na 30 maana yake huyo sio wa 2000 ni wa 95.

Ila kimjinimjini wanawake waliozaa wanamaanisha wapate kijana waliyemzidi umri sana alafu awe anajua kupeleka moto hadi K ikauke alafu ilete chemchemi upya. Hata kama hana hela wapo tayari kugharamika wao, au kama wote hawana hela, basi mwanamke anaenda kudanga kwa wazee magoigoi wenye hela alafu amletee kijana wake wa afumbili 😀😀
 
Umeelezea vizuri sana, ni kweli 💯 na mi nataka kijana asiye na hela ikiwezekana jobless 😂😂 awe na kazi ya kuni💦💦, kula na kucheza magemu tu.
 
Asanteni kwa majibu ya uzi wa jana, nimeona nakidhi vigezo vyote vilivyotajwa na napokea jina la “shangazi”.

Haya niambieni hawa vijana wa 2000 nao wana sifa zipi. Ambao mmeshapata uzoefu nao, nini nijiandae nacho na kuwa makini?

Mwenye kutaka kutupa karata yake:
shangazimambo@gmail.com
(vijana wa 2000 tu) 😅 ukianiandikia “Hi” instead of kujitambulisha na kuniambia why unanifaa - nakublock.

REJEA 👇
Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Cc: Inside10
So hapa kuna tako titi na tumbl.
Naja tumalizie miaka ya gu miwili ya mwishoni hapa duniani
 
Back
Top Bottom