Nimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko

Wapi ni pale Doma au mikumi....
 
Acha kuzingua wewe stori gani hizo za kukimbizana na nyoka masaa 2 sema tu ukweli kwamba umeota ndoto
 
Koboko Atakua Koboko Wa Mombasa Uyo.
Koboko Wali Nazi
 
huyo ni kobra sio koboko.

koboko/black mamba huwa hatanui kichwa anasimama na kubaki hivyo ila shambulio moja kifo ni chini ya dkk 30
 
ha ha ha.. this was just a dream, alipozinduka hakumuona huyo koboko wala nin. don't take it serious
 
Anataka kujua zaidi kuhusu huyo nyoka ila kuuliza ni shidah
 
Nijuavyp koboko havimbishi kichwa kikawa kama upawa. Huyo no cobra. Koboko hupanua mdomo wake na kutoa hissing sound. Ulikimbia kwa muda wa saa.mbili?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] duuuuh noma sana
 
Huyo Koboko labda alikuwa ni mja mzito wa miezi saba na wiki tatu labda
 
Na kama ilikuwa ni ndoto basi bila shaka lazima utakuwa uliachia kubwa kitandani kama sio kukojoa! Eti mkuu huku stanchi kweli? Sema kweli maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 

Nimeishia kucheka tuu... acha kutufunga kamba asee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…