Nimekoma kuikosoa Biblia hapa JF

Mungu Wangu Ee Mungu Twakushukuru
Twakushukuru Kwa Kuwa Wema Wako Ukaribu
Utakapofikia Wakati Ulioamuliwa Wewe Utahukumu Kwa Haki
 

WEWE USIJE KWA STYLE HIO YA UJANJA WA KUKATA MKASI MBELE HUKU INATIWA VIDOLE NYUMA[emoji1321]
MIMI BINAFSI NI MUISLAMU HALISIA NA BIBLIA NAIJUA KULIKO UNAVYOIJUA WEWE,,
HAYA FUNGUKA HIO KASORO YAKO ULIOIKOSOA MPAKA UKAIJUTIA[emoji1321]
USILETE USANII KATIKA JUMBA LA SANAA,,[emoji1321]
 
zephaniah 1:7 Nyamaza kimya mbele za Bwana MUNGU; Kwa maana siku ya Bwana i karibu; Kwa kuwa Bwana ameweka tayari dhabihu, Amewatakasa wageni wake.
 
Leo sijaja kubishana kuhusiana na Biblia kama unaijua kuzidi mimi haina shida mkuu.

Mungu akubariki.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ukiifahamu kweli itakuweka huru, sabato njema mkuu.
 
Ni jambo jema MUNGU amekufunulia kuhusu ukuu wake,sasa enenda ukautangaze ukuu wake kwa mataifa yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…