Nimekoma kuikosoa Biblia hapa JF

Acha ujinga wewe!,hebu dadavua nini kimekupata na unakonekti vipi na biblia..?
haya makopo kacheze nayo huko
 
Yeah, Mungu anaweza kukuonesha kwamba yeye ndiye Mkuu, hasa pale unapoonekana kuwa na upinzani juu ya vitabu vyake, una bahat kutokewa hivi....wengine hawapati neema hyo.
 
Kamilisha story nini kimekuaminisha kuwa ulikosea
 
Mbona hujaelezea hiyo issue kiundani zaidi?
 
Hahaha
 
?????????
 
Engeelezea kiundani ingesaidia
 
Mungu hadhihakiwi
 
Sio maarufu kwahiyo unautafuta kwa nguvu eeh
 
Ni kweli watu ukosea kwenda. Biblia na Quraan ni vitabu vinavyiopaswa kuheshimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…