Nimekoma kuikosoa Biblia hapa JF

Nimekoma kuikosoa Biblia hapa JF

Acha ujinga wewe!,hebu dadavua nini kimekupata na unakonekti vipi na biblia..?
haya makopo kacheze nayo huko
 
Yeah, Mungu anaweza kukuonesha kwamba yeye ndiye Mkuu, hasa pale unapoonekana kuwa na upinzani juu ya vitabu vyake, una bahat kutokewa hivi....wengine hawapati neema hyo.
 
Kamilisha story nini kimekuaminisha kuwa ulikosea
 
WEWE USIJE KWA STYLE HIO YA UJANJA WA KUKATA MKASI MBELE HUKU INATIWA VIDOLE NYUMA[emoji1321]
MIMI BINAFSI NI MUISLAMU HALISIA NA BIBLIA NAIJUA KULIKO UNAVYOIJUA WEWE,,
HAYA FUNGUKA HIO KASORO YAKO ULIOIKOSOA MPAKA UKAIJUTIA[emoji1321]
USILETE USANII KATIKA JUMBA LA SANAA,,[emoji1321]
Hahaha
 
Mimi ni member ambaye sina umaarufu wowote hapa JF.Lakini siku chache zilizopita nimekuwa mpinzani mkubwa wa vitabu vya dini hasahasa Biblia nikidai ni kitabu cha uongo na cha kufikirika.

Lakini Jana usiku Mwenyezi Mungu Mungu kanionyesha muujiza kuhusu Biblia ndio maana nimekuja hapa kuomba msamaha na kukoma kuikosoa Biblia.

Hakika Mungu ni mkuu na vitabu vyake alivyotuachia ni vya ukweli.Nimezaliwa kwenye familia ya kisabato mara ya mwisho kwenda kanisani ilikuwa kipindi niko form three ila Leo naenda.

Mungu awabariki.
?????????
 
Engeelezea kiundani ingesaidia
 
Mungu hadhihakiwi
 
Sio maarufu kwahiyo unautafuta kwa nguvu eeh
 
Back
Top Bottom