Nimekoma kuingiza Malaya ndani ya nyumba,never again

Nimekoma kuingiza Malaya ndani ya nyumba,never again

Hii ya kumtishia kisu noma, ila kuna siku utakuja mchoma kweli
 
IMG_4799.jpg

Chai
 
Hii ishawahi kumtokea mwanangu mmoja hv enzi izo tupo a-level, ka-import malaya home kwao kwa kawaida anawatoaga asubuhi sana kabla hajaamka mtu yoyote sasa siku iyo kapitiwa na usingizi anashtuka saa 4 asubuhi nyumba nzima washaamka, kanicheki kuona tunafanyaje ikabidi tufanye mission ya kijasusi. Malaya alibaki ndani kwanza mpaka wakubwa wote waondoke wakabaki madogo na beki tatu nikaibuka home kwao na video game nikawawekea madogo wakatulia sebureni yule beki tatu jamaa akamtuma dukani halafu malaya akatolewa kupitia mlango wa uwani
 
Wewe ni mjinga.

Mimi hata Demu nisie na plan nae havuki kizingiti Cha mlango wangu.

Mishe zote huko huko gesti.

Nyumbani kwako ni mahali patakatifu japo ni wewe ni mchafu.

Umeshaleta mabala, minuksi, mikosi, laana nyumbani kwako

Hio nyumba itakaswe.

You are judgemental

Work on yourself
 
Back
Top Bottom