Nimekoma kula misosi ya dezo toka kwa mademu wa kibongo, ni hatari nilidhani napendwa kumbe ndio wananiumiza

Sakizia

Senior Member
Joined
May 2, 2016
Posts
168
Reaction score
248
Mwenzenu nimejifunza sasa na nimekoma kwa yaliyonitokea, nimekuwa na mahusiano
na wadada tofauti katka nyakati tofauti, lakini kitu kimoja tu kinafanana katika hao wote
ninao kuwa nao nacho ni kuwa mara tu napokuwa nao basi hilo kosa lazima ataenda
kunitengeneza ili nimpende zaidi na technic kubwa wanayoitumia ni kwenye chakula.

Hiki kitu kimenitokea mara kibao yaani napokuwa nayeye marlbolo anafanyakazi vizuri tu lakini kosa nikipata mwanamke mwingine marbolo hafanyi kazi.

Kitu hiki kiliponitokea mara ya
kwanza nilistuka saana lakini rafiki zangu wakanisaidia kunipeleka kwa karumanzila nikapona ila akaniambia aliyenifanyia hvyo ni mpenzi wangu aliweka sihr katka mchuzi wa kuku aliyeniletea
sikuamini sabab kila nikimpigia hesabu huyo demu wangu namuona mdogo sa mambo haya
kayajuaje?

Ilinishangaza sana sababu ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza, pia niliamini ni shiriki sababu nilipona hilo tatizo, ila hali hii imekuwa ikijirudia mara kadhaa kwa kila wanawake nao kutana nao na style ndio ile ile kwenye chakula, mara ya mwisho ni juzi dada mmoja mjane
alikuwa ananiletea msosi wa kufturu naye humo humo bila kumuogopa mungu kanifanyia tena yaani utadhani wanaambiana vile wakati wala hawajuani.

Ndio nikasema wanaume wenzangu msione manaletewa misosi na madem mkasema ooh demu ananipenda, kanifia yule ni kweli inaweza ikawa kakupenda kweli lakini kumbuka kuna hiki kitu misosi ya bure ni hatari saana.

Sasa hivi demu akiifanya
ananiletea menu siili namwambia nimeshiba nitakula baadae akiondoka naitupa.
 
umenichekesha kweli bro utadhani ni utani
lakini ni kweli yanatokea bro yaani nimekoma
kuwaamini wanawake sasa hivi yaani mtu
haumzanii kabisa kumbe anakufanyia najiulizaga
wanafundishwaga wapi maana woote mwendo ni ule ule🙂🙂🙂
Mambo yao waachie wenyewe... Usipokua makini utakunywa sana mikojo yao... Hahaha

Cc: Mahondaw
 
Mwenzenu nimejifunza sasa na nimekoma kwa yaliyonitokea, nimekuwa na mahusiano
na wadada tofauti katka nyakati tofauti, lakini kitu kimoja tu kinafanana katika hao wote
ninao kuwa nao nacho ni kuwa mara tu napokuwa nao basi hilo kosa lazima ataenda
kunitengeneza ili nimpende zaidi na technic kubwa wanayoitumia ni kwenye chakula.

Hiki kitu kimenitokea mara kibao yaani napokuwa nayeye marlbolo anafanyakazi vizuri tu lakini kosa nikipata mwanamke mwingine marbolo hafanyi kazi.

Kitu hiki kiliponitokea mara ya
kwanza nilistuka saana lakini rafiki zangu wakanisaidia kunipeleka kwa karumanzila nikapona ila akaniambia aliyenifanyia hvyo ni mpenzi wangu aliweka sihr katka mchuzi wa kuku aliyeniletea
sikuamini sabab kila nikimpigia hesabu huyo demu wangu namuona mdogo sa mambo haya
kayajuaje?

Ilinishangaza sana sababu ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza, pia niliamini ni shiriki sababu nilipona hilo tatizo, ila hali hii imekuwa ikijirudia mara kadhaa kwa kila wanawake nao kutana nao na style ndio ile ile kwenye chakula, mara ya mwisho ni juzi dada mmoja mjane
alikuwa ananiletea msosi wa kufturu naye humo humo bila kumuogopa mungu kanifanyia tena yaani utadhani wanaambiana vile wakati wala hawajuani.

Ndio nikasema wanaume wenzangu msione manaletewa misosi na madem mkasema ooh demu ananipenda, kanifia yule ni kweli inaweza ikawa kakupenda kweli lakini kumbuka kuna hiki kitu misosi ya bure ni hatari saana.

Sasa hivi demu akiifanya
ananiletea menu siili namwambia nimeshiba nitakula baadae akiondoka naitupa.
Miaka inaenda sasa 40+ acha uzinzi
 
Mkuu ungeshauri masela wasile msosi uliopikwa na manzi maana haijalishi ni wa bure au umetoa Hela,nyumbani au Kwa mama ntilie,wataweka tu wakiamua.Hujaona mtu anaacha vyuku home anaenda jilamba na maharage Kwa mama ntilie?Wanawake ni kwikwi.
 
Back
Top Bottom