Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Naupenda mkojo wako... Yale ule mkojooo...Kunywa mikojo kivipi mikojo kama mikojooooo au mikojo 🤔??????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naupenda mkojo wako... Yale ule mkojooo...Kunywa mikojo kivipi mikojo kama mikojooooo au mikojo 🤔??????
Sio misosi tu, watakuogesha dawa, watachukua nguo zako, wengine watachukua manii zako alafu zifutuke dawa zote.Mwenzenu nimejifunza sasa na nimekoma kwa yaliyonitokea, nimekuwa na mahusiano
na wadada tofauti katka nyakati tofauti, lakini kitu kimoja tu kinafanana katika hao wote
ninao kuwa nao nacho ni kuwa mara tu napokuwa nao basi hilo kosa lazima ataenda
kunitengeneza ili nimpende zaidi na technic kubwa wanayoitumia ni kwenye chakula.
Hiki kitu kimenitokea mara kibao yaani napokuwa nayeye marlbolo anafanyakazi vizuri tu lakini kosa nikipata mwanamke mwingine marbolo hafanyi kazi.
Kitu hiki kiliponitokea mara ya
kwanza nilistuka saana lakini rafiki zangu wakanisaidia kunipeleka kwa karumanzila nikapona ila akaniambia aliyenifanyia hvyo ni mpenzi wangu aliweka sihr katka mchuzi wa kuku aliyeniletea
sikuamini sabab kila nikimpigia hesabu huyo demu wangu namuona mdogo sa mambo haya
kayajuaje?
Ilinishangaza sana sababu ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza, pia niliamini ni shiriki sababu nilipona hilo tatizo, ila hali hii imekuwa ikijirudia mara kadhaa kwa kila wanawake nao kutana nao na style ndio ile ile kwenye chakula, mara ya mwisho ni juzi dada mmoja mjane
alikuwa ananiletea msosi wa kufturu naye humo humo bila kumuogopa mungu kanifanyia tena yaani utadhani wanaambiana vile wakati wala hawajuani.
Ndio nikasema wanaume wenzangu msione manaletewa misosi na madem mkasema ooh demu ananipenda, kanifia yule ni kweli inaweza ikawa kakupenda kweli lakini kumbuka kuna hiki kitu misosi ya bure ni hatari saana.
Sasa hivi demu akiifanya
ananiletea menu siili namwambia nimeshiba nitakula baadae akiondoka naitupa.
wacha bwana mi mbona nina 34 tu usini zeeshe plzMiaka inaenda sasa 40+ acha uzinzi
lazima utadhurika wewe tu si ndio aliyekunuidhiaHivi mfano akafanya hayo mambo yake kwenye msosi tukala wote yy atadhurika?
wanaume tuna taabu saana ndio maana wengine hawalagi majumbani mwaoSio misosi tu, watakuogesha dawa, watachukua nguo zako, wengine watachukua manii zako alafu zifutuke dawa zote.
Baada ya kuita amina unasema mwajuma kabla ya kumaliza unasema merry
kabisa yaani shirki wameiweka mbele saana jamani viumbe hawaMkuu ungeshauri masela wasile msosi uliopikwa na manzi maana haijalishi ni wa bure au umetoa Hela,nyumbani au Kwa mama ntilie,wataweka tu wakiamua.Hujaona mtu anaacha vyuku home anaenda jilamba na maharage Kwa mama ntilie?Wanawake ni kwikwi.
unalosema ni kweli bro ila nilipenda niwastue na wanaumeUjifunze sasa
🤸Naupenda mkojo wako... Yale ule mkojooo...