Nimekoma kula misosi ya dezo toka kwa mademu wa kibongo, ni hatari nilidhani napendwa kumbe ndio wananiumiza

Sio misosi tu, watakuogesha dawa, watachukua nguo zako, wengine watachukua manii zako alafu zifutuke dawa zote.
Baada ya kuita amina unasema mwajuma kabla ya kumaliza unasema merry
 
Sio misosi tu, watakuogesha dawa, watachukua nguo zako, wengine watachukua manii zako alafu zifutuke dawa zote.
Baada ya kuita amina unasema mwajuma kabla ya kumaliza unasema merry
wanaume tuna taabu saana ndio maana wengine hawalagi majumbani mwao
sabab washawajua wake zao washirikina
 
Mkuu ungeshauri masela wasile msosi uliopikwa na manzi maana haijalishi ni wa bure au umetoa Hela,nyumbani au Kwa mama ntilie,wataweka tu wakiamua.Hujaona mtu anaacha vyuku home anaenda jilamba na maharage Kwa mama ntilie?Wanawake ni kwikwi.
kabisa yaani shirki wameiweka mbele saana jamani viumbe hawa
hawajiamini hata kidogo
 
Ujifunze sasa
unalosema ni kweli bro ila nilipenda niwastue na wanaume
wenzangu pia sio wote wanaolalamika wamepungukiwa nguvu
eti ni maradhi bali aslimia kubwa sababu ni hii shirki na vijini vya
kutumiwa toka kwa wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…