Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo we acha tu. Siku moja nimebeba mke wa mtu niko naye geto kama sa 2 na nusu hivi usiku. Wakati namtibu moyo wa kusalitiwa na mumewe mara kwa mara, mume kapiga simu.Kuna jamaa lipo pembeni linaonyeshwa hizo msg halafu unachekwa.
Kwa design hii unaonekana wewe ndio wale wa design za 'baby umekula' halafu shilingi moja humpi.
Acha kuwaza mapenzi kijana. Tafuta pesa. Ukiwa na pesa utajibiwa msg bila hata kutuma msg.
Acha kula wake za watu mkuuHaya mambo we acha tu. Siku moja nimebeba mke wa mtu niko naye geto kama sa 2 na nusu hivi usiku. Wakati namtibu moyo wa kusalitiwa na mumewe mara kwa mara, mume kapiga simu.
Wakaongea mawili matatu. Dume lipo nataka niongee na watoto. Mke akajibu wako tuition hadi watakaporudi sa 3 na nusu hivi.
Baada ya kukata kiu yangu, nikamrudisha kwao awahi muda alioahidi baba aongee na watoto.
Ogopa sana mwanamke.
Mwamba tafuta hela tu. 🤣🤣🤣
Wewe umeshazipata?M
Mwamba tafuta hela tu. 🤣🤣🤣
Nazidi kutafuta aiseeWewe umeshazipata?