Queen ratifa
Member
- Dec 20, 2017
- 26
- 56
Asubuhi hii nimeenda kununua vitafunwa vya kunywea Chai yaliyonifika si madogo kati kati ya kitafunwa nimekutana na nywele.Hapa nimekaa nawaza nywele hii ni nywele ya wapi kichwani,kwapani ,au ni vuzi aiseee mbona tunakula vitu vya ajabu bila kujijua.
Mkakati wangu mpya kuanzia Leo sitatumia vitafunio vinavyouzwa mabarabarani nitatumia mkate au viazi,mihogo nachemsha mwenyewe .Siku yangu ishaharibika
Mkakati wangu mpya kuanzia Leo sitatumia vitafunio vinavyouzwa mabarabarani nitatumia mkate au viazi,mihogo nachemsha mwenyewe .Siku yangu ishaharibika