Nimekomaa, nimekoma mwenzenu

Nimekomaa, nimekoma mwenzenu

Queen ratifa

Member
Joined
Dec 20, 2017
Posts
26
Reaction score
56
Asubuhi hii nimeenda kununua vitafunwa vya kunywea Chai yaliyonifika si madogo kati kati ya kitafunwa nimekutana na nywele.Hapa nimekaa nawaza nywele hii ni nywele ya wapi kichwani,kwapani ,au ni vuzi aiseee mbona tunakula vitu vya ajabu bila kujijua.

Mkakati wangu mpya kuanzia Leo sitatumia vitafunio vinavyouzwa mabarabarani nitatumia mkate au viazi,mihogo nachemsha mwenyewe .Siku yangu ishaharibika
 
Asubuhi hii nimeenda kununua vitafunwa vya kunywea Chai yaliyonifika si madogo kati kati ya kitafunwa nimekutana na nywele.Hapa nimekaa nawaza nywele hii ni nywele ya wapi kichwani,kwapani ,au ni vuzi aiseee mbona tunakula vitu vya ajabu bila kujijua.

Mkakati wangu mpya kuanzia Leo sitatumia vitafunio vinavyouzwa mabarabarani nitatumia mkate au viazi,mihogo nachemsha mwenyewe .Siku yangu ishaharibika
POLE AISEE
 
Ahahahaaaaaa.

I feel you.

However, you never really know what you’re eating unless you grow it yourself, kill it yourself, and make it yourself.

Ever since I heard those words I’ve heeded them like the holy scriptures!
 
Hiyo inatokea tu mkuu hata kwenye mahoteli ya kitalii,wanawake nywe;le zao ni laini kwa hiyo kama hajazifunika na litambaa haya yanaweza kutokea tu.Kuna mgeni alipelekwa chakula alikaa na wenzake wawili,huyu mgeni alikuwa mweupe kwenye lodge ya kitalii,alipokuta nywele hakusema,na mbaya zaidi alikuwa ni tour operator,akala lakini mgeni huyuhuyu alipopelekewa kitinda mlo akakuta nywele tena ikabidi aseme sasa.lakini hii inatokea usiache vitafunwa mkuu japo kula mihogo na magimbi ni bora
 
Hata kama utapika mwenyewe kama hutafunika nywele zako vizuri unaweza kukutana na nywele pia.
 
Aiseeee pole saaana naona jinsi gani ulivyoghafilika,..hizo vitu sio mitaani/uswahilini tuu hata sehemu za nyota 5 hutokea,....ila daah vinatia kinyaa sio siri,piga moyo konde.
 
EPUKA SANA KULA VITU VYA KUNUNUA HOVYO MTAANI.JUZI TU KUNA MAMA KASOMBWA NA DEFENDA HAPA BAADA YA MFANYAKAZI WA MGAHAWA KUTOA SIRI KUWA HUWA WANAPIKIA MAHARAGE NA NYAMA MAJI AMBAYO YULE MAMA AMEKUWA AMEJISUZIA MWILI WAKE BAADA YA KUOGA.KILA LA HERI WAVIVU WA KUPIKA WENYEWE WAKITEGEMEA MIGAHAWA.
 
Pendelea kupika mwenyewe hata hiyo mikate pia unaweza kukutana na nywele vile vile
Mii kuna Sikh nlikutana na kucha kwenye mkate so bora vitafunwa ivi uandae mwenyewe ata ukikuta kitu kisicho cha kawaida unajua ni wewe ndo umeandaa
 
Hizo ni nywele za chini, hujawahi soma hapa yule jamaa alokwenda asubuhi kununua vitumbua kwa mama jirani akakuta anaosha papachu kisha yale maji ndo anaumulia vitumbua na kukandia maandazi? Kwasababu ushakula sana hapo kabla na wala hujazurika we endelea kula tu, toa hizo nyewele kisha gonga chai yako.

Kama ukiamua kuwa muungwana waweza kwenda kwa mama muuza vitafunwa ukamwambia kuwa awe mwangalifu asiwe anabakiza nywele kwenye hayo maji.
 
Tunakula vingapi bana...

Ishaiva hiyo haina shida
 
Back
Top Bottom