Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,694
Reaction score
1,249
Happy new year beautiful people.

Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea.

Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid).

NB: Siumwi chochote na kila miezi 6/mwaka huwa nafanya general health check up ikijumlisha ini, figo, moyo, kansa ya mlango wa kizazi na matiti.(Ni kautamduni tu nimejiwekea)

Natanguliza shukrani
 
Chanzo nini?
Mawazo?
 
Fanya diet ya kitimoto wiki mbili Tu na tako litafumuka.

By the way viazi ulaya na nyama ni nzuri Sana ukipika pamoja na mboga za Majani pembeni.
 
Kula hovyo hovyo tuu mkuu uta nenepa hasa wanga na mafuta
 
Kabla ya kufanya chochote, calculate body mass index yako..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…