Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

Happy new year beautiful people.

Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea.

Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid).

NB:Siumwi chochote na kila miezi 6/mwaka huwa nafanya general health check up ikijumlisha ini ,figo,moyo,cansa ya mlango wa kizazi na matiti.(Ni kautamduni tu nimejiwekea)

Natanguliza shukrani
Kapime HIV kwanza.
 
Pole sana.
Ushauri achana na vikoba na mikopo ya kausha damu Kama uno humo

Pia Kama we ni kamwanamke kalevi punguza pombe au kula sana kabla ya kubugia kamunyweso.

Kingine we Kama ni mkazi wa daslam epuka kula matembele na matumbo mabichwa na magulu za kuku. Jitaidi ukule samaki wa mwanza Kama sato na kamongo yasinda nyama ndani ya mwezi tu utajua mnene Kama msechu
 
Back
Top Bottom