Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Safi sana mwanzo mzuri huoJana nimempa mtu hizo ingridients zako na yeye akaniongezea na mchele na mbegu za maboga kanitengenezea unga mzuri.
Jana jioni nimeupika nikaweka na maziwa fresh na ya unga kuongeza ladha yaani ni mtamu hatari 😁 halafu unanunikia vizuri sana.
Leo nishakunywa vikombe viwili na pia nahisi unaleta hamu ya kula coz leo najihisi njaa njaa tu.
Huo uji ni mzuri mno yaani utakunywa na utagain weight vizuri tu
Wakati mwingine tupiamo peanut butter