Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

Safi sana mwanzo mzuri huo
Huo uji ni mzuri mno yaani utakunywa na utagain weight vizuri tu
Wakati mwingine tupiamo peanut butter
 
Dear Missy Gf nime log in kwa lengo moja tu la kukupa asante.

Uji wako umenisaidia kipenzi.
Nimeongezeka hadi nimepitiliza kidogo๐Ÿ˜ƒ ila najipenda hata nguo sasa zinakaa na ngozi imenawiri kama nimetoka uzazi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.Ingekua sio kuogopa kuambiwa lipia tangazo ningekurushia kapicha ujionee๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ƒ.

Anywayz.
Naomba niwe sponsor wa bando lako la hii week end kama njia yangu ya kusema asante.Hata kama kwa week end unatumia bando la 1M๐Ÿคฃ we sema coz umenisaidia sana.
Ukiniruhusu nitatuma vocha za kukwangua so usiwaze๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Mshukuru Mungu unene ni kero,mimi Nina kilo nyingi zinatesa sana
 
Waoh nashukuru kupata positive feedback kipenzi natumai sahivi unafurahia body kinanda uliyoipata
Halafu vocha ninazo
Jamani labda zawadi nyingine ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡
 
NB: Siumwi chochote na kila miezi 6/mwaka huwa nafanya general health check up ikijumlisha ini, figo, moyo, kansa ya mlango wa kizazi na matiti.(Ni kautamduni tu nimejiwekea)

Natanguliza shukrani

Mkuu hii Check up huwa unafanyia kwenye Hospitali gani? Na gharama zake zikoje?
 
Kumbe kilo zilkuwepo lakini zikapotea?

Diet yako ni ile ile?

If so, ebu itaje kwanza hiyo dietโ€ฆ

Kisha na ratiba yako ya kula weka hapa.
 
Kwanza kuwa na furaha,weka ratiba yakula na kulala vizuriiii
Asante kwa kujali mkuu ila nishaongezeka na nina furaha na kujifurahia๐Ÿ™.
Ninalala vizuri kabisa na kuamka muda ninaojisikia.
 
Kumbe kilo zilkuwepo lakini zikapotea?

Diet yako ni ile ile?

If so, ebu itaje kwanza hiyo dietโ€ฆ

Kisha na ratiba yako ya kula weka hapa.
Asante kwa kujali mkuu๐Ÿ™ ila nishaongezeka.
 
Mkuu hii Check up huwa unafanyia kwenye Hospitali gani? Na gharama zake zikoje?
Kansa ya Shingo ya mlango wa uzazi ni bure kupimwa.

HIV ni bure.

MOYO
ECG ni 30- 36k

ECHO ni 140k and above.

FIGO
Kuna ultra sound na vingine ila ultra sound ni kuanzia 15k.
INI
inategemea dokta atashauri kipimo gani.

KANSA YA MAZIWA
Sijawahi kuchekiwa TZ. so sijui gharama zake ila najua ni hospital chache zenye hicho kipimo.

Napimiaga Regency na hospital fulani ya Mission ya wazungu wakatoliki.
 
Waoh nashukuru kupata positive feedback kipenzi natumai sahivi unafurahia body kinanda uliyoipata
Halafu vocha ninazo
Jamani labda zawadi nyingine ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡
Yes naifurahia body ya afrikan woman๐Ÿ˜.

Sasa hapo kwenye zawadi nyingine ngojea nione jinsi yakufanya pasi ya mambo kuwa mengi.

Once again.
Thank you๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Yes naifurahia body ya afrikan woman๐Ÿ˜.

Sasa hapo kwenye zawadi nyingine ngojea nione jinsi yakufanya pasi ya mambo kuwa mengi.

Once again.
Thank you๐Ÿ™๐Ÿ™
Thanks madam ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
 
Mkuu tutoe ushamba kidogo cheese ndio kitu gani?
Kula unachojisikia, achana na ratiba ya wali nyama etc.

Kunywa maziwa kila asubuhi nusu lita

Baada ya chakula tafuna cheese (tafuta cheddar cheese), itasaidia kujaza tumbo. Vumilia ladha.

Nilifanya haya kuongeza uzito
 
Me mwenyewe nimekonda aisee, na sielewi kwanini?
 
Ulifuata ushauri wa Pro. Janabi nini?
 
punguza wivu, maana wivu hukondesha kuliko kukosa chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ