Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Habari wana JF,
Bado napambana na ajira (kujiajiri bado sio suala jepesi). Nilifanya mtihani wa TRA lakini bahati mbaya sikufuzu.
Nina Shahada ya Sheria. Bado sijakamalisha Post graduate diploma ya Law School. Nimeshafanya kazi za kujitolea mahakamani na kwa mawakili.
Pia nimefanya kazi za mikataba ya muda mfupi. Najiamini na ninaweza kufanya kazi hata nje ya maeneo ya kada yangu.
Naomba anayeona kuna fursa mahali, anisaidie ili niweze kupata kazi. Sio lazima iwe eneo la kisheria. Kwa atakayeguswa tuwasiliane kwa email: [email protected].
ASANTE!