Nimekosa ajira za TRA, wenye fursa mahali pengine anisaidie

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
376
Reaction score
850
Habari wana JF,
Bado napambana na ajira (kujiajiri bado sio suala jepesi). Nilifanya mtihani wa TRA lakini bahati mbaya sikufuzu.

Nina Shahada ya Sheria. Bado sijakamalisha Post graduate diploma ya Law School. Nimeshafanya kazi za kujitolea mahakamani na kwa mawakili.

Pia nimefanya kazi za mikataba ya muda mfupi. Najiamini na ninaweza kufanya kazi hata nje ya maeneo ya kada yangu.

Naomba anayeona kuna fursa mahali, anisaidie ili niweze kupata kazi. Sio lazima iwe eneo la kisheria. Kwa atakayeguswa tuwasiliane kwa email: moderncentury5@gmail.com.
ASANTE!
 
Jaribu kupita kwenye firms mbalimbali upitishe barua na pia tafuta mawakili wa kujitegemea wawe kwenye circle yako watakusaidia sehemu ya kujishikiza.

Kuna uhusiano mkubwa wa kufanikiwa kwa kuwa na circle ya marafiki na watu sahihi.
 
Acha uvivu
Njoo huku kyela tuvune mpunga.
 
kuna nafasi ya intern ARUSHA SHAB FINANCIAL SERVICES EXPRESS. TUMA CV YAKO info@shabfinance.co.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…