Nimekosa ajira za ualimu tena

upo sahihi mkuu👍🏽
 
Pole sana mkuu embu anza kujiingiza kwenye magari nenda pale veta ya shinyanga kasomee mitambo Kwa mwaka mmoja mda mwingine inakubidi uumie ili mishe ziwe Sawa badilisha ujuzii itakusaidia sana
 
Jaribu upande mwingine (private) unaweza pata sehemu ya kukuta unapata japo hela ya vocha.
 
Pole sana mkuu embu anza kujiingiza kwenye magari nenda pale veta ya shinyanga kasomee mitambo Kwa mwaka mmoja mda mwingine inakubidi uumie ili mishe ziwe Sawa badilisha ujuzii itakusaidia sana
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hizo kazi wanaona aibu
 
Sis tupo tunasubir 23% July 2022

Pole sana mdogo wangu

Unawashauri nn wadogo zako wanaosoma Baed sasa hiv huko vyuoni?
 
Ninashangaa waliomaliza 2021 wamechaguliwa.
Mfumo unatumika unatakiwa kabla majina hayajatangazwa yapitie TISS NA TAKUKURU wakishajiridhisha ndipo Majina ya tangazwe na yatangazwe na kupanga vitu. Vinginevyo tunapigwa

Hata hao TISS na TAKUKURU nao wana majina yao, kwa kifupi hii nchi imekwishaoza. Natamani ifumuliwe then system yote iundwe upya.
 
Acha kuongea kama huna akili timamu
Maswala ya kufeli yanahusianaje
Upunguzage kiherehere kijana[emoji19]
Naona siku tukionana utanifaa sana we binti unaonekana unanipenda kuongea unaogopa ila above thirty sitafuni mm
 
Naona siku tukionana utanifaa sana we binti unaonekana unanipenda kuongea unaogopa ila above thirty sitafuni mm
Nitafunwe na mtu anaeshangaa mwanaume mwenzake akinunua pombe za 120K si ntakua nimechanganyikiwa
Embu nitolee uchuro mimi…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…