Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri vuta subra Mungu atakuona siku isiyo na Jina.Ndugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa na kuamua kuajiri BAED 600 seriously! Yaani kwakundi kubwa lililopo Bora ningeenda hata msingi lakini niajiriwe.
Wewe Bashungwa kama umehusika kwenye huu mchakato Mungu akusimamie katika magumu unayopitia.
Binafsi ninakinyongo sio kwasababu nimekosa hapana ila kwasababu nimekosa kisha akapata wa mwaka 2020 ambae nae ni Sanaa Kama Mimi.
Yaani hapa mpaka tumbo linanikata kwa maumivu lakini poa tu maisha ndio haya haya.
Hana namna[emoji26]G.P.A 2.5 unaforce ufundishe secondary ?
Haki Nchi hakuna. Wa 2021, 2020, 2019, 2018, 2016, 2015 hawakapata Ajira kwenye Mfumo Rasmi wa Serikali. Kwa wanaothamini Vijana wao Priority inabidi iwe walioanza kuhitimu ndio waanze. Kijana hajasota anakuwa wa kwanza kupewa huku wa Zamani akiachwa. Ni Maumivu saaaana Vijana wanapitia.Ndugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa na kuamua kuajiri BAED 600 seriously! Yaani kwakundi kubwa lililopo Bora ningeenda hata msingi lakini niajiriwe.
Wewe Bashungwa kama umehusika kwenye huu mchakato Mungu akusimamie katika magumu unayopitia.
Binafsi ninakinyongo sio kwasababu nimekosa hapana ila kwasababu nimekosa kisha akapata wa mwaka 2020 ambae nae ni Sanaa Kama Mimi.
Yaani hapa mpaka tumbo linanikata kwa maumivu lakini poa tu maisha ndio haya haya.
Pole Sana nduguNdugu zanguni nimekosa ajira tena!

Ndio maana madogo wanaleta dharau, yaan fresh from college anapata ajira wkt kuna kaka na dada zake wana miak wapo na pengne wana sifa zaidi kuliko yao. Aisee, tutafika tu.Haki Nchi hakuna. Wa 2021, 2020, 2019, 2018, 2016, 2015 hawakapata Ajira kwenye Mfumo Rasmi wa Serikali. Kwa wanaothamini Vijana wao Priority inabidi iwe walioanza kuhitimu ndio waanze. Kijana hajasota anakuwa wa kwanza kupewa huku wa Zamani akiachwa. Ni Maumivu saaaana Vijana wanapitia.
Shida iko wapi kwenye hicho kichwa cha habariAlukuja mshikaj wangu anaomba nimtizamie mambo hayo ya ajira maana yeye hana kifaa cha intanet. (Ana kitoch tu)
Nikazama kwenye tuvuti ya tamisemi na kupakua orodha ya waalimu. Kuna jumla ya kurasa 125 na waliochagiliwa ni 9800.
Tuliangalia jina la kwanza had la mwisho hakuwepo. Nilimhurumia sana maana mm STEGEMEI KUAJIRIWA. aliondoka bila kuaga.
Ila naomba wajuvi wa lugha mnijuze kurasa zote 125 kichwa cha habar wizara
imeandika "WALIOAJILIWA" je hii sawa?
View attachment 2275481
Inategemea na uhitaji,Physics wamechukua 1978 nchi nzima,History 79 nchi nzima.Kwa iyo wa History watalia wengi.Haki Nchi hakuna. Wa 2021, 2020, 2019, 2018, 2016, 2015 hawakapata Ajira kwenye Mfumo Rasmi wa Serikali. Kwa wanaothamini Vijana wao Priority inabidi iwe walioanza kuhitimu ndio waanze. Kijana hajasota anakuwa wa kwanza kupewa huku wa Zamani akiachwa. Ni Maumivu saaaana Vijana wanapitia.
Ha ha yan akili mbovu sana mtu analilia kaz anbayo haimpi hata milion kwa mwezi,si uchizi huo.Mliingia mkataba na serikali kuwa kukuajili ni lazima???, halafu ualimu Kuna nini ndugu? Watu wanaacha kazi nyie mnakimbilia kazi ya ualimu, nenda kavue samaki mtoni wapo kambare kibao, kambare mkubwa moja ni 2000 ukipata kambare 50 tu ni shilling laki moja kwa mwezi ni million 3 halafu unataka ualimu wa kazi gn mbona akili zenu zimedumaa?
Kwake ina thamani kubwa kwakuwa ameisomea na imemgharimu muda na fedha.Ha ha yan akili mbovu sana mtu analilia kaz anbayo haimpi hata milion kwa mwezi,si uchizi huo.
Lakini pia litafutwe neno lingine zuri kuliko 'kichwa Cha habari'.Shid
Shida iko wapi kwenye hicho kichwa cha habari
Umepata ni mmHuyu huwa namhisi ni Deo Kisandu aka Nalimison!
Dah pole SanaNdugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa na kuamua kuajiri BAED 600 seriously! Yaani kwakundi kubwa lililopo Bora ningeenda hata msingi lakini niajiriwe.
Wewe Bashungwa kama umehusika kwenye huu mchakato Mungu akusimamie katika magumu unayopitia.
Binafsi ninakinyongo sio kwasababu nimekosa hapana ila kwasababu nimekosa kisha akapata wa mwaka 2020 ambae nae ni Sanaa Kama Mimi.
Yaani hapa mpaka tumbo linanikata kwa maumivu lakini poa tu maisha ndio haya haya.
Ndugu zanguni nimekosa ajira tena!