Afro king
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 445
- 455
Pole sana mkuu
Chukulia poa tu utaumia rohoni kwa vitu kam ivi maana utafikiria adi akili itachoka may be Mungu amekuandikia pengne kila kitu kinasababu yake
Chukulia poa tu utaumia rohoni kwa vitu kam ivi maana utafikiria adi akili itachoka may be Mungu amekuandikia pengne kila kitu kinasababu yake
Ndugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa na kuamua kuajiri BAED 600 seriously! Yaani kwakundi kubwa lililopo Bora ningeenda hata msingi lakini niajiriwe.
Wewe bashungwa Kama uemhusika kwenye huu mchakato Mungu akusimamie katika magumu unayopitia.
Binafsi ninakinyongo sio kwasababu nimekosa hapana ila kwasababu nimekosa kisha akapata wa mwaka 2020 ambae nae ni Sanaa Kama Mimi.
Yaani hapa mpaka tumbo linanikata kwa maumivu lakini poa tu maisha ndio haya haya.