Nimekosa cha kujifunza kutoka kwa marehemu Sam wa Ukweli

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Ndugu wanajamvi msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi binafsi nimesikitishwa sana na kifo cha msanii Sam wa ukweli.

Kutokana na kifo hiki nimejifunza jambo moja tu ambalo ni kifo hakina huruma na tuwe tayari wakati wowote.

Lakini kusema kweli nimekosa cha kujifunza kutoka kwa msanii huyu hasa katika nyanja ya mafanikio yake, mali alizokuwa anamiliki, miradi nk. Ni vyema tukajifunza kupitia mema na mafanikio ya wenzetu lakini kwa marehemu alikuwa msiri sana wa vitu na mali alizochuma kupitia muziki hivyo kutunyima fursa ya kuwa inspired. Kama kuna watu wanaojua mafanikio ya marehemu kutokana na muziki wayaweke hapa hili tupate cha kujifunza.

Angalizo kwa wasanii na watu maarufu muwe mnaweka wazi mafanikio mliopitia ili watu tunaowatazama kama vioo vya jamii tupate kujifunza.

Sam wa ukweli alihojiwa na kukataa katakata kutaja mafanikio aliyoyapata kupitia muziki hivyo kuacha maswali kuwa huenda pesa zake alimaliza kwa pombe na wanawake.
 
Kuna wasanii wakiwa wanatumia pesa kwenye mambo ya kijinga utakuta wanakwambia sisi hatupendi kujionyesha, Mfano Kiba watu wengi wangependa kuona anamiliki nini kutokana na umaarufu wake ili wawe inspired lakini anaficha na huenda hana cha kuwaonesha.............
 
Ndugu wanajamvi msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi binafsi nimesikitishwa sana na kifo cha msanii Sam wa ukweli.

Kutokana na kifo hiki nimejifunza jambo moja tu ambalo ni kifo hakina huruma na tuwe tayari wakati wowote.

Lakini kusema kweli nimekosa cha kujifunza kutoka kwa msanii huyu hasa katika nyanja ya mafanikio yake, mali alizokuwa anamiliki, miradi nk. Ni vyema tukajifunza kupitia mema na mafanikio ya wenzetu lakini kwa marehemu alikuwa msiri sana wa vitu na mali alizochuma kupitia muziki hivyo kutunyima fursa ya kuwa inspired. Kama kuna watu wanaojua mafanikio ya marehemu kutokana na muziki wayaweke hapa hili tupate cha kujifunza.

Angalizo kwa wasanii na watu maarufu muwe mnaweka wazi mafanikio mliopitia ili watu tunaowatazama kama vioo vya jamii tupate kujifunza.

Sam wa ukweli alihojiwa na kukataa katakata kutaja mafanikio aliyoyapata kupitia muziki hivyo kuacha maswali kuwa huenda pesa zake alimaliza kwa pombe na wanawake.

Huyu nae kafa maskini tu....sijui tutamsingizia bwana mweredi Ruge kamnyonya....this world is full of insanity🙁🙁
 
Ndugu wanajamvi msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi binafsi nimesikitishwa sana na kifo cha msanii Sam wa ukweli.

Kutokana na kifo hiki nimejifunza jambo moja tu ambalo ni kifo hakina huruma na tuwe tayari wakati wowote.

Lakini kusema kweli nimekosa cha kujifunza kutoka kwa msanii huyu hasa katika nyanja ya mafanikio yake, mali alizokuwa anamiliki, miradi nk. Ni vyema tukajifunza kupitia mema na mafanikio ya wenzetu lakini kwa marehemu alikuwa msiri sana wa vitu na mali alizochuma kupitia muziki hivyo kutunyima fursa ya kuwa inspired. Kama kuna watu wanaojua mafanikio ya marehemu kutokana na muziki wayaweke hapa hili tupate cha kujifunza.

Angalizo kwa wasanii na watu maarufu muwe mnaweka wazi mafanikio mliopitia ili watu tunaowatazama kama vioo vya jamii tupate kujifunza.

Sam wa ukweli alihojiwa na kukataa katakata kutaja mafanikio aliyoyapata kupitia muziki hivyo kuacha maswali kuwa huenda pesa zake alimaliza kwa pombe na wanawake.

Mimi kupitia Yeye nimejifunza tu kwamba Kukonda sana kama siyo mno hadi ' mifupa ' na ' mishipa ' ya mwili kuonekana siyo kwamba unaugua UKIMWI / Dally Kimoko.
 
Nadhani soko lilimficha sio yeye tu wapo wengi, kama wewe ni celebrity na huna chakujionyeshea lazima ufyate
 
Nimegundua kuwa watu wengi wamecoment bila kusikiliza au kuangalia hiyo clip. Pia mleta uzi utakuwa umesikiliza ukiwa tayari na majibu yako.
Jaribu kuwa open minded ndo usikilize. Utaona vitu na kujifunza jambo kubwa tu.
Dogo alikuwa amefanikiwa kwa nafasi yake
Anyways
RIP Sam wa Ukweeeeh
 
Hata kitendo cha wewe kumjua Tu ni mafanikio, Sam alikua Muuza matunda ilala Sokoni, imagine alipigika kiasi gani mpaka Leo wewe unaejiita msomi WA Sheria kutaka kujua achievements zake! mjifunze kua watu wa kiasi..
Mimi msomi wa sheria kumjua siyo hoja. Huyo ni mwanamuziki nyota wengi tunazikubali kazi zake. Kama jamii tuna haki ya kumjadili na kumjua zaidi. Alikuwa publicly known therefore subjected to public debate
 
Mleta Mada sio kila kitu cha unataka kujifunza. Penda kufundisha na wewe.
Mimi nafundisha lakini pia napenda kujifunza kutoka kwa wengine kama wengine wanavyojifunza kutoka kwangu
 
Mimi msomi wa sheria kumjua siyo hoja. Huyo ni mwanamuziki nyota wengi tunazikubali kazi zake. Kama jamii tuna haki ya kumjadili na kumjua zaidi. Alikuwa public known therefore subjected to publicly debate
kwani si ulimfaham kabla ya kufariki? ulikua wapi kumuhoji wewe binafsi? mbona alikua active sana kwenye mitandao? wewe una IG Account Na umenifollow kwanini katika list ya ulio wafollow hayumo Sam? Mzee nashawishika kusema kwamba una agenda zako!
 
Kwaio ninyi watu mnafahamiana enh
 
kwani si ulimfaham kabla ya kufariki? ulikua wapi kumuhoji wewe binafsi? mbona alikua active sana kwenye mitandao? wewe una IG Account Na umenifollow kwanini katika list ya ulio wafollow hayumo Sam? Mzee nashawishika kusema kwamba una agenda zako!
Hahaha kumfollow mtu kuna mambo mengi watu wengi nawafahamu na sijawafollow. Hii hainiondolei ukweli kwamba napenda nyimbo zake na nina haki ya kumjadili
 
Back
Top Bottom