Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Ndugu wanajamvi msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi binafsi nimesikitishwa sana na kifo cha msanii Sam wa ukweli.
Kutokana na kifo hiki nimejifunza jambo moja tu ambalo ni kifo hakina huruma na tuwe tayari wakati wowote.
Lakini kusema kweli nimekosa cha kujifunza kutoka kwa msanii huyu hasa katika nyanja ya mafanikio yake, mali alizokuwa anamiliki, miradi nk. Ni vyema tukajifunza kupitia mema na mafanikio ya wenzetu lakini kwa marehemu alikuwa msiri sana wa vitu na mali alizochuma kupitia muziki hivyo kutunyima fursa ya kuwa inspired. Kama kuna watu wanaojua mafanikio ya marehemu kutokana na muziki wayaweke hapa hili tupate cha kujifunza.
Angalizo kwa wasanii na watu maarufu muwe mnaweka wazi mafanikio mliopitia ili watu tunaowatazama kama vioo vya jamii tupate kujifunza.
Sam wa ukweli alihojiwa na kukataa katakata kutaja mafanikio aliyoyapata kupitia muziki hivyo kuacha maswali kuwa huenda pesa zake alimaliza kwa pombe na wanawake.