Ukiona hivyo ujue unakaribia kugonga kamasi la ng'ombe... tamuje sasa?Ahahahahahahahahhaa makende ya meeeh
Hiyo kitu labda wanichanyanyie kwenye mtura aiseeeh. Ila iko siku ntaweza kuipiga kavukavu labda, mwazoni nilikuwa siwezi kula denda la ngómbe. Siku moja nikaletewa nyama imechomwa vizurii ina nyuzi nyuzi hivi kuitafuna lainii. nilipomaliza kula nikaambiwa hilo ni denda la ngómbe. Looh toka silu hiyo nikawa mdau.
Acha liwee tuu weekend hii hahahahahaha babuuu.
Ukiona hivyo ujue unakaribia kugonga kamasi la ng'ombe... tamuje sasa?
Usijali... hilo baridi najua dawa yake...Aaaaahhh babu banaa achaa.... nasisimkwa mwenzio hapa na hili baridi...
Usijali... hilo baridi najua dawa yake...
Nikiweka ulimi hapo kwa nyuma ya shingo... ofkozi sitang'ata... najua baridi litahama kabla hatujageukiana nimalizie kwa mbele