Sam kaacha kitu cha kujifunza moja kutoka kuuza machungwa mpaka kuiona opportunity ya mziki na kuweza kupambana mpaka Mimi na wewe tukamfaham hayo ni mafanikio makubwa, unadhani angekufa akiwa muuza machungwa Leo tungemjadili? Ni vijana wangapi wanafanya kazi zisizo na tija na wanashindwa kuona opportunity mpya? Mbili Sam anaweza asikushawishi wewe ila nenda kafanye research uona ni wauza matunda wangapi aliokuwa anauza nao wamepata ushawishi? Pia kumbuka ushawishi unategemea na background ya MTU na malengo ya MTU