Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye si amekuja Na Verified account ulitarajia nn?! hajui hata mm ni nani!Kwaio ninyi watu mnafahamiana enh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni sawa na kumwambia Dogo Janja aoneshe mafanikio aliyopata kwenye muziki, atakuonesha nini zaidi ya kumwonesha Irene Uwoya?
umetishaMarehemu alitukumbusha kwenye Moja ya Nyimbo zake Kuwa 'Wachawi Na wenye roho mbaya hata kwetu wapo'
Thread yako ime prove Maneno ya wimbo ule
Kuna wasanii wakiwa wanatumia pesa kwenye mambo ya kijinga utakuta wanakwambia sisi hatupendi kujionyesha, Mfano Kiba watu wengi wangependa kuona anamiliki nini kutokana na umaarufu wake ili wawe inspired lakini anaficha na huenda hana cha kuwaonesha.............
Pia ameondoa yale meno yake yakuozaNi sawa na kumwambia Dogo Janja aoneshe mafanikio aliyopata kwenye muziki, atakuonesha nini zaidi ya kumwonesha Irene Uwoya?
comment imeshiba AKILI hiiMleta Mada sio kila kitu cha unataka kujifunza. Penda kufundisha na wewe.
So sad ....mtihani sana wallahiBadala ya kumuombea marehemu apumzike salama; mnaanza kumjadili vitu gani kaacha marehemu; material things; hii ngozi nyeusi ina laana ya muumba sio bure. Rip Sam.
Miafrika ndivyo ilivyo in Nyani Ngabu tone.
Muuulize baba Yke hana mafanikio yoyote ya Ku mu inspire mpaka Anataka watu wengine ndio wamuhamasishe "" so kama baba Yke hilo limemshinda "" vipi aone Ajabu kwa sam wa ukweli "...... pumbavu nasikitika kuona kwamba kuna watu wengine hata hawajui kuwa maisha hupanda na kushuka[emoji23][emoji23] kwa hiyo unasubiri uone anachomiliki Kiba ili uwe inspired?chapa kazi swahiba utimize hadi ndoto ambazo mwenyewe ulikua haufikiri kuziishi achana na hao wasanii ikiwezekana wao wakuangalie wewe.
Comment ina akili sana hii...."" wanawacheka wenzao Usikute hata baba zao wameshindwa kuwa na mafanikio yoyote ya kutuhamasisha ....kama Upendo huwa unaanzia nyumbani "" basi kujifunza kuhamasika na maisha kunapaswa kuanzia nyumbani pia....Hata kitendo cha wewe kumjua Tu ni mafanikio, Sam alikua Muuza matunda ilala Sokoni, imagine alipigika kiasi gani mpaka Leo wewe unaejiita msomi WA Sheria kutaka kujua achievements zake! mjifunze kua watu wa kiasi..
Ha haha hahaaMarehemu alitukumbusha kwenye Moja ya Nyimbo zake Kuwa 'Wachawi Na wenye roho mbaya hata kwetu wapo'
Thread yako ime prove Maneno ya wimbo ule
Toka hapa acha tujifunze bana!Mleta Mada sio kila kitu cha unataka kujifunza. Penda kufundisha na wewe.