Umefanya nilichokuambia? Nashangaa bado unabishana hapa!. Nilitegeemea sasa unegkuwa na mrejesho nini kimejrii kwenye namba nilizokupa ili tujue kama kweli Samy ameamua kutoa kafara ya damu kwa shetani kinafiki.
Mkuu
1/. Hujanielewa nilichokiandika
Nimesema nimekosa huduma ,Moja ya kituo sababu sijachoma Chanjo
Then nikauliza hawa watu wamepata wapi jeuri ya kupinga kauli ya mh.Rais kuwa Chanjo sio Lazima.
2/.Umekurupuka
Ulipaswa kusema huo utaratibu haupo kwa maeneo uliyopo wewe.
Na pia ungeshauri wapi nipeleke malalamiko yangu. (Kama unafahamu kwa kina)
3/.niseme uongo ili nipate faida gani?
Acha kuwa na dhana mbovu kwa watu.
4/. No research no right to speak
Hiyo research ya kujua nasema uongo umeifanya saa ngapi?
Vituo vya Afya nchini vyote umefuatilia ? Kujua changamoto gani wagonjwa wanakutana nazo kipindi hiki Cha kinga?