#COVID19 Nimekosa huduma ya afya kwakuwa sijapata chanjo. Je, chanjo ya COVID-19 ni lazima nchini Tanzania?

#COVID19 Nimekosa huduma ya afya kwakuwa sijapata chanjo. Je, chanjo ya COVID-19 ni lazima nchini Tanzania?

Umefanya nilichokuambia? Nashangaa bado unabishana hapa!. Nilitegeemea sasa unegkuwa na mrejesho nini kimejrii kwenye namba nilizokupa ili tujue kama kweli Samy ameamua kutoa kafara ya damu kwa shetani kinafiki.
Mkuu
1/. Hujanielewa nilichokiandika
Nimesema nimekosa huduma ,Moja ya kituo sababu sijachoma Chanjo
Then nikauliza hawa watu wamepata wapi jeuri ya kupinga kauli ya mh.Rais kuwa Chanjo sio Lazima.

2/.Umekurupuka
Ulipaswa kusema huo utaratibu haupo kwa maeneo uliyopo wewe.
Na pia ungeshauri wapi nipeleke malalamiko yangu. (Kama unafahamu kwa kina)

3/.niseme uongo ili nipate faida gani?
Acha kuwa na dhana mbovu kwa watu.

4/. No research no right to speak
Hiyo research ya kujua nasema uongo umeifanya saa ngapi?
Vituo vya Afya nchini vyote umefuatilia ? Kujua changamoto gani wagonjwa wanakutana nazo kipindi hiki Cha kinga?
 
Umefanya nilichokuambia? Nashangaa bado unabishana hapa!. Nilitegeemea sasa unegkuwa na mrejesho nini kimejrii kwenye namba nilizokupa ili tujue kama kweli Samy ameamua kutoa kafara ya damu kwa shetani kinafiki.
Sorry mkuu
 
Namba sijaziona
 
Sasa kuna tatizo gani hapo? Kumbuka hao waenda clinic huwa wanajazana sana na kuleta risk ya maambukizi au wewe ni mfuasi wa askofu Gwajima??
Mkuu simuungi mkono Gwajima hata mara Moja.
Chanjo tulikubaliana na familia yangu tutachoma kwa muda tuliopanga.
Nilichozungumzia ni kulazimishwa kuchoma wakati muda tuliopanga bado.
Kulazimishwa maana yake siyo hiari. Na Mimi nahitaji nichome kwa hiari.
Ndo maana nikauliza huyu mtu kapata wapi jeuri ya kulazimisha wakati mkuu kashasema ni hiari.
 
Namba sijaziona
Hawa mashetani wanataka damu ya mkeo na mwanao. Wanataka wamuue wao badala na kabla ya Korona.

Piga simu number 0734047775 uombe msaada wa haraka.
Piga simu number +255 22 211 5278 haraka sana uwaambie tatizo lako.
Piga simu number +255 762 973 419 wambie wakupe msaada wa haraka, maisha ya familia yako yako hatarini. Achana na longolongo za kisiasa na kiitikadi. Unahitaji msaada wa haraka.
 
Kwa mwenye kufahamu juu ya Hil naomba anifahamishe.

Nimekosa huduma moja ya kituo Cha Afya hapa nchini ,sababu sijachoma Chanjo ya COVID-19.

Je, hawa watoa huduma wamepata wapi jeuri ya kupinga kauli ya Mh. Rais

Ile kauli ya kuwa Chanjo sio Lazima.
Ni hospitali gani hiyo, itaje tuichukulie hatua kali!!
 
Mwambie mke wako akachanje yupo kweny kundi ambalo ni kipaumbele hataki ajiudumie mwenyewe na ajifungulie uko uko ifike mahali mambo ya ku bembelezana yaishe ukikanyaga tu hospital unakutana na chanjo hutak ondoka full stop
Mi nitahonga hata milioni kupata hiko cheti cha chanjo, ila sio kuchanja aisee.., no way!
 
Inakulazimu uchanje kwa hiari yako mwenyewe 🐒
 
Back
Top Bottom