Nimekosa Imani na jeshi la POLISI

Ungewaambia kuwa mwizi alikuwa amevaa sare za CHADEMA, hapo hadi RPC angeingia kwenye msako wa huyo mwizi maana ndiyo kazi wanayoiweza.
 
Mbali wapi wakati polisi ni mali ya ccm? kifupi wanachofanya ndio wanachopangiwa na wamiliki wao! Aya mbwa akiuma binadamu lawama anapewa nani?
Nimekusoma mkuu
 
Kaka
Japo haichekeshi ila nmecheka sanaπŸ˜€πŸ˜€
 
Tafuta mganga mzuri mueleze shida yako usiende Kwa waganga wa mjini ingia chaka Kwa mfano Kyela ndani ndani huko wapi na malipo unafanya baada ya watuhumiwa wako kuwa vichaa au kudanja
πŸ˜€πŸ˜€
 
Kalpana unataka kusema kua?πŸ˜€
Si ndo kama yule aliemchomea mwenzake duka Dodoma alimwambia yy ni ccm haguswi inshort hana pa kumpeleka...ndo hivyo na mm nimewaza labda mwizi ni kijana wa chama...
 
Bwana Stunnaman008
Me form four nlipata 4 inayokaribiana na 0 kabisaa hili niweke wazi
Ila kama nmekuelewa vizuri
Umemaanisha kua

Imani yako KWASASA ndio imepungua
Yaani maana yake UNAYO ILA IMEPUNGUA SI NDIO?
 
Si ndo kama yule aliemchomea mwenzake duka Dodoma alimwambia yy ni ccm haguswi inshort hana pa kumpeleka...ndo hivyo na mm nimewaza labda mwizi ni kijana wa chama...
Mwemzangu una mwanasheria mkalii πŸ˜€
 
Kama mwizi unamjua,haina haja ya kuwambia polisi tena.
Mtafute kimya kimya,ukimpata mfinye hadi aseme nani kumtuma...
Mapolis wakija wambie tayar ushafungua kesi lakni hakuna ushughulikiaji.
 
Yaani adui yako unamjua nabado unateseka.

Youngman are you nuts😬😬😬


YAANI WEWE HAPO UMEJIFUNGA KWANI LIKIMKUTA JAMBO HUYO MTU WAKO SUSPECT WAKWANZA NI WEWE.NDOMAANA MWANAUME UNATAKIWA UWE UNAANGALIA VITU VYA MSINGI UKIWA FREE VITU KAMA CRIME DOCUMENTARIES ZINAKUPA ABC ZA MAISHA.

JIFUNZE PIA MAPIGANO FOR SELF DEFENCE ACHENI KUISHI KAMA MAANDAZI.HII DUNIA HAKUNA ULAINI ULAINI.MAISHA MCHAKAMCHAKA!!!

HUNA MBINU, TAFUTA MGANGA MTOA KISHIPA HUYO BWEGE.USIKUBALI KUISHI KINYONGE.TAFUTA HATA MPEMBA AMTUPIE JINI KAMA KYELA MBALI.

SHIDA VIJANA MUDA WA ZIADA MNAANGLIA TMTHILIA ZA KITURUKI.ONA SASA UNASHINDWA KUSOLVE JAMBO DOGO KAMA HILO.NA HUYO MWIZI BAADA YA MUDA ATAMTAFUTA DEMU WAKO AU MKEO AKUGONGEE NA BADO UTAKUJA KULALAMA JFπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.

USHAURI WA BURE,,BE A MAN!!!
 
Mpe mbinu mbona una mchamba tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…