Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 458
- 530
- Thread starter
-
- #61
Sahihi mkuuBwana Stunnaman008
Me form four nlipata 4 inayokaribiana na 0 kabisaa hili niweke wazi
Ila kama nmekuelewa vizuri
Umemaanisha kua
Imani yako KWASASA ndio imepungua
Yaani maana yake UNAYO ILA IMEPUNGUA SI NDIO?
Ndio kimebakiYajayo yatawasurubu wenyewe...
unamatumizi mabaya ya IMANIππSahihi mkuu
ππYaani adui yako unamjua nabado unateseka.
Youngman are you nutsπ¬π¬π¬
YAANI WEWE HAPO UMEJIFUNGA KWANI LIKIMKUTA JAMBO HUYO MTU WAKO SUSPECT WAKWANZA NI WEWE.NDOMAANA MWANAUME UNATAKIWA UWE UNAANGALIA VITU VYA MSINGI UKIWA FREE VITU KAMA CRIME DOCUMENTARIES ZINAKUPA ABC ZA MAISHA.
JIFUNZE PIA MAPIGANO FOR SELF DEFENCE ACHENI KUISHI KAMA MAANDAZI.HII DUNIA HAKUNA ULAINI ULAINI.MAISHA MCHAKAMCHAKA!!!
HUNA MBINU, TAFUTA MGANGA MTOA KISHIPA HUYO BWEGE.USIKUBALI KUISHI KINYONGE.TAFUTA HATA MPEMBA AMTUPIE JINI KAMA KYELA MBALI.
SHIDA VIJANA MUDA WA ZIADA MNAANGLIA TMTHILIA ZA KITURUKI.ONA SASA UNASHINDWA KUSOLVE JAMBO DOGO KAMA HILO.NA HUYO MWIZI BAADA YA MUDA ATAMTAFUTA DEMU WAKO AU MKEO AKUGONGEE NA BADO UTAKUJA KULALAMA JFππππ.
USHAURI WA BURE,,BE A MAN!!!
Hapana Imani nikitu adhimu mkuuunamatumizi mabaya ya IMANIππ
Ni kweli kabisa mkuuPolisi hawana msaada kweli π Nakumbuka mwaka 2011 nilikabwa nikaibiwa simu Nokia E 40 , na wale Vibaka walikuwa wamekaa na Babu Mlinzi wa magari usiku. Waliponiona nakuja wakanyqnyuka wakaanza kunikimbiza na mapanga.
Kesho yake nikaenda kwa yule Babu Mlinzi maana nilikuwa napafahamu anapoishi , nikamwambia twende Polisi ukawataje wale Wezi lasivyo nitakupeleka SITAKI SHARI Mkuu wa kituo ni Baba yangu mkubwa yule aliogopa sana , kufika kituoni nikaelezea tukio lilivyokuwa na huyu Babu anawajua walionikaba.
Polisi wakaomba elfu 10 ya mafuta wakawakamate wale Vibaka maana wanawajua nikatoa ile 10,000 wakasema niongeze tena 30,000, nikawaambia basi bhana hao wezi kutoka hapa kituoni mpaka wanakopatikana hata kilomita moja haifiki. Sitaki tena na hiyo hela chukueni tu.
Hawana msaada hawa jamaa
Wat7 siku hizi wakiibiwa wanamalizana nao kwa njia za jadi tu π€£Ni kweli kabisa mkuu
Yani unatamani bora kila moja achukue sheria yake tuWat7 siku hizi wakiibiwa wanamalizana nao kwa njia za jadi tu π€£
okNimekusoma mkuu
Sijakufahamu mkuuWe ni taila UK unae waamini hawa vibaka