Nimekosa imani na Msemaji Mkuu wa Serikali

Nimekosa imani na Msemaji Mkuu wa Serikali

Juzi juzi kasema mfumuko wa Bei Tanzania imeshuka. Wakati simenti imepanda Bei toka 13000 mpaka 17000. Sukari inaning'inia pale pale 3000. Sijui Kama jamaa anasoma bulletin ya aina yoyote.
 
Wakati wa utawala wa nazi ujerumani kitengo Cha msemaji wa serikali kilikua ndio Kati ya vitengo nyeti. Waliweza kuwaambia wajerumani kwamba wayahudi Ni watu wabaya wanaostahili kunyongwa.
Juzi Kati hapo Rwanda redio ndio ilitumiwa kiwaaminisha wahutu kwamba wstusi si watu wema. Closer home 2008 Sang wa Kenya alitumia kitengo hicho hicho kuchochea mauaji ya kikabila.
Hivi enzi za Nyerere kulikua na msemaji wa serikali?
 
Mimi nilimshangaa wakati anatoa taatifa ya mfumuko wa bei nchini, akataja na za nchi nyingine. Natafakari lengo lake kucompare na nchi ya Kenya na Uganda nakosa jibu.
 
Kazi ya watu wa propaganda hiyo ,wanalipwa kwa kusema uongo.madikteta wote huwa wapo vizuri kwenye kitengo cha propaganda

Sasa Mbona asingeongelea Huu uwanja wala Hakuna mtu angejadili, kwa nini aanze kuuongelea huyo msemaji wa Mh rais?
 
Back
Top Bottom