Yule msemaji ni Zwazwa kwa 100%.
Yaani ni bora hata asingedanganya, angekaa zake kimya, watu wenyewe wangejiongeza wenyewe. Sasa hii aibu ya serikali anaipeleka wapi?
Narrow mind!!period.Bado sijaelewa Tatizo ni nini? Kwani zikiprintiwa Africa kusini ndo chadema mtashinda? Kipigo kiko pale pale hata zikpritiwa miga au Amsterdam! Acha kazi iendelee, magu tano tena
Narrow mind!!period.Bado sijaelewa Tatizo ni nini? Kwani zikiprintiwa Africa kusini ndo chadema mtashinda? Kipigo kiko pale pale hata zikpritiwa miga au Amsterdam! Acha kazi iendelee, magu tano tena
Inawezekana hata picha za SGR anazotuletea ni za uongo.
View attachment 1597019
Hali halisi.
View attachment 1597020
Kazi ya watu wa propaganda hiyo ,wanalipwa kwa kusema uongo.madikteta wote huwa wapo vizuri kwenye kitengo cha propaganda
Huwa hakana msimamo hakoMkuu vp tena siku hizi umewageuka tena?