Nimekosa kazi kwa mhindi sababu nimesoma UDSM

Nimekosa kazi kwa mhindi sababu nimesoma UDSM

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Wapendwa kwema?

Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili.

Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu waliowahi kuwaajiri kutoka same college kama mimi hawana kawaida ya kudumu kwenye hiyo kampuni, nimejiuliza hii ni sababu ya kutoswa kweli au wameajili mhindi mwenzao huko so wanaleta sababu za kipuuzi kujitetea?


Screenshot_20211125-201922_Opera Mini.jpg
 
Ucjal ndugu yangu, Mimi niliwahi pata Kwenye kampuni flan ya muhind, Ile siku naenda jaza mkataba si ndo wakajua Moja ya wadhamin Wang ni afisa uhamiaj oyaa huwez amin walinikataa Tena wakaitana kwanza wahind wote eneo lile wakaanza upya kuchambua CV Zang ndo wakajua kumbe had kwenye CV nlimuweka oyaa walinikataa wakanambia watanipigia.

Jion akanchek mswahili ambae ni Moja ya hr akanambia wamekukataa kwa kuwa Moja ya mdhamin wako ni uhamiaj wanahofia, had Leo Sina ham na wahindi
 
Ucjal ndugu yangu, Mimi niliwahi pata Kwenye kampuni flan ya muhind, Ile siku naenda jaza mkataba si ndo wakajua Moja ya wadhamin Wang ni afisa uhamiaj oyaa huwez amin walinikataa Tena wakaitana kwanza wahind wote eneo lile wakaanza upya kuchambua CV Zang ndo wakajua kumbe had kwenye CV nlimuweka oyaa walinikataa wakanambia watanipigia, jion akanchek mswahili ambae ni Moja ya hr akanambia wamekukataa kwa kuwa Moja ya mdhamin wako ni uhamiaj wanahofia, had Leo Sina ham na wahindi
Wahindi wengi kwenye makampuni wapo nchini kimagumashi, wengi hawana vibali kabisa / vimeisha.

Wanatetemekaga kichizi wakiona pila la polisi au baka eneo lao la kazi.
 
Inawezekana wanahitaji mtu atakayefanya kazi nao kwa muda mrefu, kuanzia miaka 5+
 
Aisee hiyo sababu yao sijaielewa, ila achana nao utapata sehemu nyingine tamu zaidi mkuu, Kwahiyo wanataka watu waliotoka vyuo gani ndiyo hawaondoki? Yaani ushindwe kwenda sehemu nyingine sababu ya mhindi atawakataa waofata kutoka chuo chako fyuu.

Hivi wanalipa vizuri hawa watu jamani?
 
Back
Top Bottom