Wapendwa kwema?
Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili.
Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu waliowahi kuwaajiri kutoka same college kama mimi hawana kawaida ya kudumu kwenye hiyo kampuni, nimejiuliza hii ni sababu ya kutoswa kweli au wameajili mhindi mwenzao huko so wanaleta sababu za kipuuzi kujitetea?
View attachment 2023426