Nimekosa mwanaume 'serious'

Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Itafika tu wewe niwe umezidi kuchagua mleta yoyote sisi tutagharamia kila kitu hapo ndipo kauli ya kijua ndio hiki usipo uanika utautwanga mbichi itakufaa
 
Miaka 35 bado unachagua mume, ctuka ucje kosa hata mtto kbxa.
 
jamani eh mods muoneeni huruma huyu mama mtarajiwa hii post inaama majukwaa tu
nilianza kuiona Habari na Hoja Mchanganyiko
ikafata MMU ikaingia Love Connect leo ipo JF Chit-Chat
kesho itakuwa jukwaa la siasa sijui elimu
au ndiyo mnamtafutia mume kiaina
 
Nna 26, nikaribishe nifanye mapinduz dhidi ya serikali ya upweke. unaweza kuja pm pliz
 
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Jilipue kawatongoze labda nao wanakutamani wanashindwa kukuambia au wanakuogopa au wanaogopa kupigwa za uso.
 
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Japo umenizidi umri mapenzi si umri bali kutambua thamani ya mwenzi wako.Njoo upate tulizo la moyo.Hakika hutojuta kwani ivushayo huwa mbovu lkn safari hukamilika.Utakuwa mikono salama karibu kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…