Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafika tu wewe niwe umezidi kuchagua mleta yoyote sisi tutagharamia kila kitu hapo ndipo kauli ya kijua ndio hiki usipo uanika utautwanga mbichi itakufaaNinaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Kama hupati unachokipenda,penda unachokipata!Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Yr missedamaizing
mmmmmmmmmmmmmmhNamm nimekosa mwanaume seriously
oonh real hebu uje chumbani kidogo maana kitamboYr missed
Kwani we unataka sifa gani jamani...Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Jilipue kawatongoze labda nao wanakutamani wanashindwa kukuambia au wanakuogopa au wanaogopa kupigwa za uso.Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Jamani acheni dharau inamaana sisi sio wanaume mnatuona kama vinyago siooonh real hebu uje chumbani kidogo maana kitambo
Wapo wanaume suruale au hao huwataki?Namm nimekosa mwanaume seriously
Japo umenizidi umri mapenzi si umri bali kutambua thamani ya mwenzi wako.Njoo upate tulizo la moyo.Hakika hutojuta kwani ivushayo huwa mbovu lkn safari hukamilika.Utakuwa mikono salama karibu kwangu.Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
unatafta bwana???Jamani acheni dharau inamaana sisi sio wanaume mnatuona kama vinyago sio