Nimekosa mwanaume 'serious'

Kwanza ujue unataka wanaume wa hadhi gani middle class au upper class au washika dini . Ukishajua Hayo unajilengesha maeneo yao na si ikiita unaleta pozi jaribu bahati yako hakufai mblock piga chini tafuta mwingine [emoji23]
Teh teh teh teh njooo uchukue zawadi yako dear...[emoji151] [emoji151] [emoji156] [emoji168]
 
Endelea kulia kwani naamini in up.mb.vu tu unaokusumbua.Duniani huwezi kupata kitu kisicho na dosari.Kama ukishindwa mtihani wa kukubali hali halisi hakuna jinsi nyingine ila tunakuombea uzidi kulia sana.No mercy for the f.ools
 
mama mtalajiwa Kwa nn umeamua kuleta Uzi huu hapa?
humu ni masimango tu unless kama unatafuta humu

usiolewe kwa fashion utajuta sana

do u pray? kama ndio unasali vipi?
now take note:ukipata mwanaume yeyote wala usioneshe maringo, ukifika nyumbani funga mlango funua biblia shika rozali saliiii mwambie mungu "kama huyu mwanaume sie nioneshe kabla sijafika mbali" trust me mungu ataonesha kila rangi zake.

ukiona ana uafadhali jiongeze mama tafuta sifa moja unayoipenda kwake iboreshe.

mfano Mimi napenda mwanaume msafi hii ndo sifa no 1 akishakuwa msafiii basi mengine utarekebisha

ni hayo tu mungu akupe wepesi
 
Ushauri mubashara kabisa huu
 
sina watoto sijawai kuzaa najiheshimu sana sikupenda kuzaa nje ya ndoa
Kwanza we mwenyewe haupo serious..... na unaposema unajiheshimi c kweli... ungekuwa unajiheshimu huwezi kuandika ishu kama hii humu ndani.....35yrs?? [emoji15] ... subir ukifika 55 utapata....
 
binti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo
Mtani mwaka huu upo na Point za manufaa.

Yani unatema point kinyama, nafuatilia Comment zk kila pahali.

Tathmin inaonyesha mpaka sasa wewe ndiye kwa mwaka huu umeongoza kwa kuchangia nondo mpaka muda huu ikiwa ni siku 4 tokea mwaka uanze
 
Mtani mwaka huu upo na Point za manufaa.

Yani unatema point kinyama, nafuatilia Comment zk kila pahali.

Tathmin inaonyesha mpaka sasa wewe ndiye kwa mwaka huu umeongoza kwa kuchangia nondo mpaka muda huu ikiwa ni siku 4 tokea mwaka uanze
Nadhani utaenda hivi mpaka mwisho wa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…