mama mtalajiwa Kwa nn umeamua kuleta Uzi huu hapa?
humu ni masimango tu unless kama unatafuta humu
usiolewe kwa fashion utajuta sana
do u pray? kama ndio unasali vipi?
now take note:ukipata mwanaume yeyote wala usioneshe maringo, ukifika nyumbani funga mlango funua biblia shika rozali saliiii mwambie mungu "kama huyu mwanaume sie nioneshe kabla sijafika mbali" trust me mungu ataonesha kila rangi zake.
ukiona ana uafadhali jiongeze mama tafuta sifa moja unayoipenda kwake iboreshe.
mfano Mimi napenda mwanaume msafi hii ndo sifa no 1 akishakuwa msafiii basi mengine utarekebisha
ni hayo tu mungu akupe wepesi