Nimekosa mwanaume 'serious'

who are you by the way? una nn cha maana haswa? Eti "hawana sifa ninazozipenda" una nn kipya labda?
 
Chukua hatua ...kama unataka uisome namba endelea kukaa kimya kwa unaowapenda
 
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Kiukweli huna tatizo, hilo ni jambo la kawaida!

More than 80% ya wanandoa hawaishi na wapenzi wao bali watu wanaofit ktk maisha yao!
Mimi napenda kuwa na gari Range Rover Sports, lkn siwezi kumudu gharama na halifit maisha yangu ya kawaida, natumia IST kwa kuwa iko convient, yaani haitofanya maisha yangu mengine yasimame, inakidhi haja yangu ya usafiri na gharama za uendeshaji ni rafiki, pia sina sana hofu ya kuibiwa au to attract unnecessary attentions kwa makundi mbalimbali ya jamii, mema na makundi mabaya (wakiwemo wezi)! my choice was made out of necessity na sio ulinganifu wa IST na Range!

So tambua nafasi yako ktk jamii, tazama miongoni mwa wanao-kufuata nani Vitz yako then endeleza naye maisha! unaweza kusubiri V8 lkn ukaishi maisha yako yote na wala usilipande!!
Natumia mfano wa vitu (magari) ili uweze ku-conceptualize maisha ktk angle nzuri Zaidi!

katika umri wa miaka 35, mwanamke umeshapoteza kila kitu, your partners lazima wawe ktk 40s - 50s ambao wengi wanakuwa wameshasettle, hata kama hawajaoa basi wana mahusiano stable/muda mrefu au wapo wachache wenye majanga yanayohusiana na mahusiano (kuanzia domo zege, walioumizwa, waliofiwa, ambao hawaja-decide) yaani chances za kuwa na better choices inakuwa narrower and narrower! kumbuka pia wapinzani wako nao ni ladies on their 20s unajua wanavyong'aa vile vibinti vya chuo au graduates! sikutishi, lkn cheza ndani ya choices zilizojileta zenyewe kwa sasa, achana na hizo picha za Cinderella,
 
kwanza ukitaka mahusiano serious na wewe inapaswa uwe serious
 
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Dadangu mi nashauri tu kama unao uwezo wa kumtunza mtoto uliyemzaa fanya mipango pata mtoto,mengine wachana nayo ila amini "there is no too late" huenda ukapata pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…