Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea ukweli mtupu!Yaani nyie ndo mkipataga ndoa, lazima mwanaume afe.... Kwa jinsi mnavyobadilika na kuwa Kama chui vile. We zaa tu.
Mkubwa sana wewenina miaka 35
Haaa haaa hakyanani JF....eti timu jaydee!?![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]mama mtarajiwa una kitumbo taYar au una uhakika ww sio team jay dee
Haaa haaaaaendelea ivyo ivyo kusubiri yule anae mpenda aje na soon yesu anatimbaa
Kiukweli huna tatizo, hilo ni jambo la kawaida!Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Me too my dearMiss you!
Samahani nikumbushe umri wakoNinaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Mm nakufaa sana sema mm bado kidogo sijaamua kuoaNinaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
DuhNaomba nimsaidie Mkuu tatizo ni MALTIPLE CHOICE
Dadangu mi nashauri tu kama unao uwezo wa kumtunza mtoto uliyemzaa fanya mipango pata mtoto,mengine wachana nayo ila amini "there is no too late" huenda ukapata pia.Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.