nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,814
- 4,781
hahaaaahhahaaaa...sikuwezikwanza mkubali anayekufuata hasa kama anakidhi asilimia 50 ya vigezo vyako.. pili jitegeshe maeneo wanaume unao wataka wanapokaa lazima uingie gharama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaahhahaaaa...sikuwezikwanza mkubali anayekufuata hasa kama anakidhi asilimia 50 ya vigezo vyako.. pili jitegeshe maeneo wanaume unao wataka wanapokaa lazima uingie gharama...
moja kubwa jifanye unaaibu hasa pale unapoongea namwanaume na toa tabasamu, halafu pia kama unapata nafasi ya kukutana naye mfanyie vitu kama kumjali fulani mfano kumtoa kauchafu kichwani na mambo kama hayoToa mifano ya mitego
ha haha haviji kwenye bahasha vinatafutwa .. utakuta huyu ndiye anayesema fuali malaya kumbe hajui unaweza anza mahusiano na nosspass katikakti ya hayo nikakutana na rafiki yake nikasepa kimya kimya ha hahaha maisha ujanjahahaaaahhahaaaa...sikuwezi
ndo maana nimekwambia sikuwezi,,, kungwi....una mbinu hatari......ha haha haviji kwenye bahasha vinatafutwa .. utakuta huyu ndiye anayesema fuali malaya kumbe hajui unaweza anza mahusiano na nosspass katikakti ya hayo nikakutana na rafiki yake nikasepa kimya kimya ha hahaha maisha ujanja
Ok, nimekuelewa!moja kubwa jifanye unaaibu hasa pale unapoongea namwanaume na toa tabasamu, halafu pia kama unapata nafasi ya kukutana naye mfanyie vitu kama kumjali fulani mfano kumtoa kauchafu kichwani na mambo kama hayo
Mh napita [emoji124] [emoji124] [emoji124]moja kubwa jifanye unaaibu hasa pale unapoongea namwanaume na toa tabasamu, halafu pia kama unapata nafasi ya kukutana naye mfanyie vitu kama kumjali fulani mfano kumtoa kauchafu kichwani na mambo kama hayo
karibu tenaMh napita [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Endelea kungoja mamaa monopouse yaja utaanza bandika thread natafuta mbaba mtu mzima ambaye hajaoa au kama kaoa mkewe alifariki sawa.
fursa hiyo changamkiaEndelea kulia. Siku ukijitambua utanyamaza na utaanza kutongoza unaowapenda ama utaanza kuwakubalia usiowapenda.
Asante mama,niko mlangoni nifungulie...karibu tena
Ungeweka kaumri kako hapa tungejaribu kupiga jerambaNinaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Aaagh Mamaa,mimi sitafuti tena Fursa. Hahahahfursa hiyo changamkia
ha hahaha nikufundeAsante mama,niko mlangoni nifungulie...
usiniambie umeshapata [emoji3]Aaagh Mamaa,mimi sitafuti tena Fursa. Hahahah
Scorpio Me[emoji23]